Kwamba hayo maeneo aliyoyataja hakuna makanisa?Uongo hakuna kitu Kama hicho
Makanisa mengi yale ya zamani hasa yapo katikati ya mji. Labda sasa hivi ndio hawazingatii jambo hili.Sio kweli. Kwanini?
Sababu kuu ni kuwa cathedrals nyingi hazikuwa cathedrals yalikuwa makanisa ya kawaida mpaka hapo parokia zilipokuwa nyingi ndio zikapanda hadhi.
Mkuu my logic is pinned to the fact that haimaanishi ni kanisa kuu au kigango but Karibia kila city center kuna kanisa katoliki hata kaa halitakua cathedral. Kama nakosea ndio hapo nauliza watu waliopo sehemu mbalimbali za miji wanielezeSo in the beginning the cathedral was built as a normal church.
Binafsi naamini hii kitu ni strict ritual hata kama wafanyaji wa jambo hilo hawatakua na maana hiyo niliyoeleza. Sijawahi kuona kaburi ambalo halijaelekea East kwa wakristo na kwa waislam ndio kabisa lazima kaburi lielekee Kibrah/East hata wakati wa kuchinja lazima mnyama uelekee kibraKuhusu hilo la kuzika niliwahi kulisikia lakini sio strict ritual. Nayajua makaburi mengi ya Catholics ambayo haya face East.
Pia jimbo kuu la kigoma lipo city center nilikua nimesahau. Ningependa more facts ili kuhitimisha theory hiiTabora jimbo kuu la kumbu kumbu ya Arch bishop Mihayo(Saint Thereza) lipo kati kati ya mji.
Kanisa kuu Katavi (Mpanda) lipo kati kati ya mji pia.
Maeneo mengine huwa napita nikipuyanga tu sijawekeza uchunguzi.
Sana nitakuwa mila nipitapo 'mkoa' nafuatilia ku prove ukweli.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah nakubaliana na wewe kuwa city centers nyingi zina makanisa. Kwa mtizamo wangu ni kwasababu kanisa katoliki ni kanisa la zamani ambalo limesambaa duniani mianga mingi iliyopita.Makanisa mengi yale ya zamani hasa yapo katikati ya mji. Labda sasa hivi ndio hawazingatii jambo hili.
Mkuu my logic is pinned to the fact that haimaanishi ni kanisa kuu au kigango but Karibia kila city center kuna kanisa katoliki hata kaa halitakua cathedral. Kama nakosea ndio hapo nauliza watu waliopo sehemu mbalimbali za miji wanieleze
Binafsi naamini hii kitu ni strict ritual hata kama wafanyaji wa jambo hilo hawatakua na maana hiyo niliyoeleza. Sijawahi kuona kaburi ambalo halijaelekea East kwa wakristo na kwa waislam ndio kabisa lazima kaburi lielekee Kibrah/East hata wakati wa kuchinja lazima mnyama uelekee kibra
Unataka nikupe picha? Nimejibu hamna kitu kama icho sasa unataka facts gani kwenye jibu languI need facts. Ukinibishia tu hivi watu wazima hawakuelewi
Paragraph hiyo inaonyesha kwamba mamluka zinazotoa takwimu kwamba sehemu hii ndio city center hua wanakadiria tu au hua wanavipimo vya kijeografia.Yeah nakubaliana na wewe kuwa city centers nyingi zina makanisa. Kwa mtizamo wangu ni kwasababu kanisa katoliki ni kanisa la zamani ambalo limesambaa duniani mianga mingi iliyopita.
Hivyo basi kutokana na kuwa miji yetu haikuwa imeendelea sana basi kanisa lazima lingejengwa hapo hapo mjini na kadiri mji unavyokuwa (kumbuka mji unakuwa kwa kutanuka 'outward' in all directions) so it's obvious kuwa baada ya miaka mingi lazima kanisa litakuwa city center.
Nasubiri kwakweli nijifunze kitu kipya hata kama itakua ni picha za mitandaoni kutoka nchi zingineSo hapo unaweza kuona chanzo ni wakati na sio kuwa ni suala la 'lazima iwe hhivy
Kuhusu makaburi hebu ngoja nianze rasmi sasa kufanya uchunguzi. Nitaleta mrejesho hapa ikiwezekana na picha.
Thinking differently is a dooe to the creativity.. but sometimes you might lost in the dark. Jig's UpSikiliza bwana mdogo, naamini kuna conspiracy umeigundua ila unatumia "kunafanya watu wote wawe sawa mbele za Mungu" kama scapegoat ili kuendelea kufanya utafiti na kuprove hiyo theory yako kwasababu kiukweli ukiitafakari hiyo logic yako ni very unwarranted. Therefore usikate tamaa, komaa utakuja kujua wajerumani waligundua nini kwenye ardhi yetu.