Hii laptop mnanishauri nichukue kwa 700,000/-?

Vipi Renewed laptop huko amazon ni utapeli?
Hata renewed mkuu ngumu kuipata hio bei sababu hio laptop ni ya kisasa haijapitwa na wakati.

Gen ya 8 iliweka standard kwa ku double core, hivyo utofauti wa gen ya 8 na 7 ni mkubwa sana, ila gen ya 8,9 na 10 ni kama zinafanana tu. Hivyo laptop kama hio ya gen ya 8 ngumu kuikuta inashuka bei ovyo ovyo, ila gen ya 7 kushuka unazipata bei hio.
 
So 7th gen ikiwa renewed amazon iko fresh au tunapigwa
 
Mkuu unapoelekea watakutapeli, no way hii laptop uipate chini ya milioni 1. Kwa hio 590,000 asilimia 99 huyo mtu anakutapeli.
Haha yaani mie mwenyewe nilishangaa, chakushangaza zaidi kwenye website yao iko pay on delivery option nimewauliza whatsapp wameniambia ndio unaweza pay on delivery, kuna option ya kuweka oda unajaza info na una click "pay on delivery" na ila kitu kimoja nilipoulizia hii husika wameniambia zimeisha na watanipa taarifa zikifika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu ungeeka na link watu wangewatambua
 
Back
Top Bottom