Hii laana ya sisi Waafrika itaisha lini?

uporoto01

JF-Expert Member
May 23, 2008
4,700
1,415
Juzi nikiangalia CNN nikaona inazungumziwa habari ya nchi wahisani wakitoa misaada ya chandarua katika jimbo moja huko Nigeria na wakasema ikifika mwakani watakua wamegawa kwa kaya zote Nigeria ili kusaidia kutokomeza Malaria.Nikajiuliza kwani vyandarua milioni 80(idadi ya Wanageria) ni bei gani na Serikali ya Nigeria kwenye mabilioni yote ya mafuta kweli wameshindwa kumudu program hii wenyewe au ndio yale yale ya MIAFRIKA NDIO TULIVYO.
 
Hilo jambo nimekwisha liona sana lakini imekosa sababu ndio maana kuna wakati mwingine naukubali huo msemo
Waafrika ndivyo tulivyo.
 
Wanaosema chaguo la mungu" kwenye siasa ndio waliotufikisha hapo
 
Back
Top Bottom