Mwana Kwetu
JF-Expert Member
- Jul 12, 2011
- 652
- 607
Huo ndiyo uhuni wa ccm,kwenye kampeniya urais walituahidi litashughulikiwa lakini wametuona sisi kama watu wasio na akili,wametufanya ngazi ya kufanikiwa malengo yao ya kisiasa.
Hapo sasa inabidi tubadilike habari ya kutumiwa kama ngazi na wanasiasa kwa malengo ya vyama vyao sasa iwe mwisho.
Mahakama ya kadhi siyo suala la muungano!Hili la mahakama ya kadhi limekaaje mbona tulihamasishana sana lakini kwenye rasimu ya katiba limekwepwa
Akitokea mwanasiasa mwingine akaahidi mahakama ya kadhi, jamaa watampigia kura tena!
Akitokea mwanasiasa mwingine akaahidi mahakama ya kadhi, jamaa watampigia kura tena!
Sio kazi ya
Tume kusilimisha taifa, Waachieni CCM ndio waasisi wa hilo
Si mlishaambiwa kwamba mahakama ya kadhi RUKSA lakini undeni wenyewe nje ya mfumo wa serikali.
Serikali iliwaundia BAKWATA hadi leo mnalalamika, sasa tena mnataka SERIKALI iwaundie tena MAHAKAMA YA KADHI, hivi nyinyi watu mnafahamu mnachokitaka?!
Kwa kweli nimefurahi sana hili swala lilivyokuwa handled. lingeleta machafuka ya amani yetu.
Kwa kweli Tume inastahili Pongezi.
Jambo ambalo sikulijua ni kwamba kumbe hata Zanzibar kuna Mahakama ya Kadhi ambayo haipo kwenye Katiba yao. Tume imeliweka vyema.
Lipumba keshaonea nia ya kulipigania hili..wenyewe wanamwita raisi ajaye
Mkuu Mkirua Hiyo ndio Kete aliyotumia Kikwete kupata kura zetu huku misikitini badala ya kutuhamasisha tujenge shule wanatudanganyia mahakama za kadhi wenzetu wakristo mnasonga mbele tuuSio kazi ya
Tume kusilimisha taifa, Waachieni CCM ndio waasisi wa hilo