Hii kweli ndo mbuzi kafia kwa muuza supu

General Galadudu

JF-Expert Member
Nov 7, 2015
1,868
2,200
50419ba7dccd04712dd2708dc5cd5bd9.jpg
 
Hamwajui dereva wa matatu za Kenya vizuri. Hapo dereva anachomoka kwa hasira huku akipayuka kwa nguvu kwamba gari la polisi ndilo lililokuwa linaendeshwa ovyo ovyo. Tayari hapo ana mashahidi/mawakili 14, abiria wake. Wote ameshawaambia kwamba nauli yake hatawadai hata shilingi moja. :D:D:D
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom