Usher-smith MD
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 9,576
- 12,371
Hahahahaasee...labda kama kala 0713
Teh...teehh....teeehh...[emoji12]Hiyo ndio dawa pekee, KUKATAA KATA KATA. Ni bora topic iishie " umefanya, sijafanya". Lakini ikibadilika kuwa " umefanya, ndio"; Mungu wangu, moto wake hauzimiki milele hata ikiwa mwanaume ataomba msamaha kwa machozi ya damu.
Jamaa kakutwa na mkewe anatoka Guest house na mwanamke mwingine, baada ya ugomvi na purukushani mwanaume amekataa katakata kuwa hajafanya kitu na yule mwanamke kule Guest (coz kwa maelezo hake alimpelekea mshikaji wake apige mambo yule demu ila yule mshikaji hakutokea ), sasa mke akamwambia kama kweli hakufanya kitu basi amnuse ili ya yeye ajiridhishe 😱
Hivi kweli hii inawezekana kweli unabaki na kaharufu kama umetoka kugegeda kweli? au ni njia tu ya kumkamata mtu mwenye roho nyepesi ya uoga?
Ila yule mume alikataa kunuswa 😀 ndipo alipokamatika
We mbona upo hapa asubuhi asubuhi?Asubuhi yote hii jamani!
Nijikute nachepuka alafu naogea Eva huwa nanunua sabuni inayofanana na ninayotumia home mii sii fala [emoji15] [emoji15] [emoji125]Hata kama kaoga lazma amebaki na kaharufu ka sabuni ya EVA
Unazunguka na sabuni ya RUNGU mfukoni asee unajindaaNijikute nachepuka alafu naogea Eva huwa nanunua sabuni inayofanana na ninayotumia home mii sii fala [emoji15] [emoji15] [emoji125]
Hapana huwa natumia mbuni ya mche nakata kipande naamsha nacho.Unazunguka na sabuni ya RUNGU mfukoni asee unajindaa