Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 31,301
- 89,417
Jana, wakiwa katika semminar ya siku moja, wajumbe na mwenyekiti wao, Sekretarieti ya ajira wametangaza mpango wao wa kutaka kuanza kupokea maombi ya ajira kwa njia ya kielekronic. Sababu yao kuu ni kupunguza msongamano wa barua ofisini kwao.
PS. Hawajabainisha wazi kwamba itakua kwa njia ya Email au itabidi tufanye registration kwanza/kua na account ndio una apply.
Mi naona hii itapunguza gharama kwa waombaji, ila pia nna mashaka kama zitakua zinasomwa kweli hizi application zote.