kigori wa kilwa
JF-Expert Member
- Nov 17, 2013
- 483
- 149
Milioni??..Hapana.
Mimi ya kwangu nilinunua Laki Moja na nusu.ila siku hizi zitakuwa Zimeshuka Bei.
Ulinunua site mirror au nn??
Jombaa, wewe ulinunua mwaka gani ??? maana yangu nimenunua 2014/7/ kwa tsh.20,000/= labda kama umenunua mwaka huu mana vitu vya magufuli havishuki bei vinapanda tu.Milioni??..Hapana.
Mimi ya kwangu nilinunua Laki Moja na nusu.ila siku hizi zitakuwa Zimeshuka Bei.