Hii kitu naipata wapi

Hii kitu naipata wapi

franci45

Member
Joined
Nov 8, 2023
Posts
61
Reaction score
93
Naitafuta sana na Nahitaji anaejua aniambie au Tz zinaingizwa kimagendo maana nilikunywa siku 1 tu

IMG_20250817_201058_591.jpg
 
Tuanzia hapo kwa aliekuuzia akwambie katoa wapi ndipo tutaweza kujua pa kuipata halafu piga picha vizuri nikusaidie kuitafuta.

Dah alcohol 11% hii si unakuwa umegonga laga mbili na zaidi?
 
Hebu picha ya upande mwengine (tuseme upande wa nyuma japo ni duara).

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom