Surya
JF-Expert Member
- Jun 7, 2015
- 9,759
- 15,574
Hili swala mke wangu lazima atambue...
Siku nikiwa naumwa sana hadi hali yangu ya kula Chakula ikabadilika kabisa nikawa nakula kidogo, maumivu kama yote, sijui natapika sina hamu ya kula...
Nakuomba mke kipenzi siku hiyo usiache kunipa Mbususu, fanya kila namna nikila kidogo kuniongezea hamu ya kula, nipe na Papuchi kimoja naamini hamu ya kula itapatikana kwa mchango huo.
Chochea umeme wa ndani mume nipone haraka.