Hii kitu imekaaje?

Hii kitu imekaaje?

Kyenju

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2012
Posts
5,143
Reaction score
2,547
Kuna aina ya uvaaji umeibuliwa na wakina dada/mama, aina hii ni ile ya kuvaa suluari au pensi alafu juu anavaa fulana ya kubana na anachomekea. Kwa kweli binafsi japo mimi ni mwanaume sina ujasiri wa kuvaa fulana bila shati kutoka Mbezi hadi Kariakoo, lakini kwa baadhi ya wanawake hili linawezekana. Karibu tujadili.
 
Yaani kinadada wengi na baadhi ya wanawake wametokwa na fahamu na uvaaji wao umekuwa ni wa kustaajabisha. Wanavaa kana kwamba ndio walioko duniani tu na hawajali wanakwaza wengini. Japo wako huru lakini kuna hali ya kuona aibu na kujisitiri. Kwa kweli tuna taizo kubwa sana tunakoelekea. Hakuna maadili kabisa. unajiuliza wakati mwingine hawa wana wazazi? au wana waume? May be wako masokoni kutangaza bidhaa zao kwa kuwa Advertisements are of two types i.e. soft and hard.
 
Kuna aina ya uvaaji umeibuliwa na wakina dada/mama, aina hii ni ile ya kuvaa suluari au pensi alafu juu anavaa fulana ya kubana na anachomekea. Kwa kweli binafsi japo mimi ni mwanaume sina ujasiri wa kuvaa fulana bila shati kutoka Mbezi hadi Kariakoo, lakini kwa baadhi ya wanawake hili linawezekana. Karibu tujadili.

Ndugu yangu unajilinganisha wewe uliyekua na wazazi/walezi wakikueleza juu ya maadili mema na kizazi cha sasa baba na mama na watoto wanavaa vichupi halafu wanakodoleana macho eti wako beach.......

"Mlee mtoto katika njia impasayo hata akiwa mzee hataiacha"

Cha ajabu tunaiga utamaduni mbaya badala ya kuiga mazuri toka mbele.

Unamuiga Nick minaj akiwa kwenye shooting lakin ukienda nyumbani kwake unakuta amevaa very decent.

Huo ni ushamba wa mwafrika
 
Kuvaa majani/ngozi/magogo kufunika papuchi na kuacha wazi makalio na chuchu ndiyo ujanja wa mwafrika!!

....mambo ya wanawake waachie wenyewe, utachanganyikiwa bure
 
Kuna aina ya uvaaji umeibuliwa na wakina dada/mama, aina hii ni ile ya kuvaa suluari au pensi alafu juu anavaa fulana ya kubana na anachomekea. Kwa kweli binafsi japo mimi ni mwanaume sina ujasiri wa kuvaa fulana bila shati kutoka Mbezi hadi Kariakoo, lakini kwa baadhi ya wanawake hili linawezekana. Karibu tujadili.

Ila inatoa burudani kwa kweli ukiwa una muangalia kwa nyuma anapo tembea.
 
Kuna aina ya uvaaji umeibuliwa na wakina dada/mama, aina hii ni ile ya kuvaa suluari au pensi alafu juu anavaa fulana ya kubana na anachomekea. Kwa kweli binafsi japo mimi ni mwanaume sina ujasiri wa kuvaa fulana bila shati kutoka Mbezi hadi Kariakoo, lakini kwa baadhi ya wanawake hili linawezekana. Karibu tujadili.

Wale wa picha.....
 
Kuvaa majani/ngozi/magogo kufunika papuchi na kuacha wazi makalio na chuchu ndiyo ujanja wa mwafrika!!

Ni utamaduni tulioukuta kwa mababu zetu, so its obvious tungeendelea nao tu
 
coca cola na pepsi ni makampuni makubwa na kila mtu anayafahamu hata mtoto wa miezi anazijua na bado wanaendelea kutoa matangazo kila kukicha,,,so we wenzio wakifanya matangazo inakuuma??
kama hupendi potezea tu wengine ndo starehe yetu hiyo kuangalia
 
Back
Top Bottom