angekufa wangesema wamelogwa...ila Tuko wakat unatushauri sisi tuache jamaa ako umemwambia?
Tunakosea sana tukisema watu na NDOA, kwani wasio na ndoa wanaruhusiwa ku''do''. Mambo ya mke 1 mume 1 sio utamaduni wetu, tuwaachie wenyewe.kizazi cha nyoka kabisa hao,,,,,,mijitu na ndoa zao bado yanaenda kufakamiana mxuuuuuuuuuuuuuuuu
^^
Siku ya hesabu tutasikia mengi
^^
Ati? Hapo angesifiwa au angehukumiwa?!!!
Tuko hivi huyo jamaa yako alitumia kinga? au amefuta tu namba za simuAti? Hapo angesifiwa au angehukumiwa?!!!
......................hapana kaka,uzinzi mi sifagilii kabisa, ila inachekesha ujueUnacheka Christine, mazuri kweli haya?!!!