Hii kitu haina urafiki..!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hii kitu haina urafiki..!!

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by MziziMkavu, Aug 11, 2010.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Aug 11, 2010
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,616
  Trophy Points: 280
  Juma alimua kusafiri kwenda mbali. Akamvika mkewe chupi ya chuma yenye kufuli.
  Ufunguo wa chupi alimwachia rafiki yake mkubwa na kipenzi kwa maelezo kuwa
  asiporudi baada ya miaka minne amfungulie mkewe ili aishi maisha ya kawaida.

  Juma alianza safari yake. Muda si mrefu kabla hajafika mbali akamwona rafiki
  yake kipenzi anamkimbiliaÂ…. akasimama kumsubiri kujua kulikoni.

  Akauliza: Vipi rafiki yangu? Rafiki akajibu; umenipa ufunguo ambao si wenyewe!!!
   
 2. Njaa

  Njaa JF-Expert Member

  #2
  Aug 11, 2010
  Joined: Dec 6, 2009
  Messages: 970
  Likes Received: 230
  Trophy Points: 60
  Jamaa alienda kujaribu immediately, hhahahahahah hii kali
   
 3. A

  Audax JF-Expert Member

  #3
  Aug 11, 2010
  Joined: Mar 4, 2009
  Messages: 444
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ahahahaa-huyu hata hakusubiri 1 hr ipite, hii balaaa.Inawezekana jamaa alikuwa anatest uaminifu wa rafiki yake ili ajue hata akifa kesho yake rafiki yake ataishi vipi na mkewe
   
 4. MLATIE

  MLATIE Senior Member

  #4
  Aug 12, 2010
  Joined: Apr 14, 2010
  Messages: 174
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  hivi ww na akili zako unamwekea mbwa nyama mdomoni then unamwambia asile hiyo kitu inawezekana kweli? acha masihara bro hyo kitu ni ngumu
   
 5. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #5
  Aug 12, 2010
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Ahahahaaaah!
   
Loading...