hii KHANGA IMEANDIKWAJE VILE???

SILENT WHISPER

JF-Expert Member
Jun 26, 2009
2,209
821
KHANGA IMEANDIKWAJE.jpg


hebu malizia ujumbe wa khanga....acha kuangalia vitu vingine..!
 
Mungu nduye mpaji, yaani toleo hili lilikuwa zuri kweli kuliko lile la zamani lililokuwa na mji.
 
oh! anaweza kugeuka huyo ili tuone reception,or sory kusoma hayo maamdishi yaliyosalia...
 
Kwa hii mitego tutapona wachache.

Tutapona wengi kwa maana ili kukabiliana na kiumbe kama huyo unahitaji kuongeza urefu wa naniliiii kwa hela nyingi, ukishindwa utakula kwa macho, utakufaje? ofisi iko mbali sana mtu wangu hasa "ukiaprochi' kutoka kwenye maandishi!
 
Picha zako zimekaa kichokozi apo suala la kuangalia maandishi ni baadae sana
 
nadhani inasema 'Mungu ndie muumbaji'
Kwa msisitizo ukiwa na shape kama ya Kongosho, hii vazi haikuhusu.
King'asti kama kimtazamo sawa ila hayo maua yanatosha kukuonyesha kwamba hili ni latest toleo la Mungu ndiye mpaji.
sasa hapo kwa shepu za sanamu la michelin ama la kabati haikuhusu kabisa. kwa wale wa bantu figa mashalaah!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom