B BEHOLD JF-Expert Member Nov 17, 2013 5,056 10,721 Jan 5, 2017 #1 Pale Jangwani mwaka jana aliwaomba watanzania wamchague Magufuli ili Apate Usingizi. Juzi nilipomuona akiserebuka na Harmonise pale Msoga pamoja na ndugu, marafiki na wageni waalikwa, niliamini Kwa kweli usingizi anaupata!
Pale Jangwani mwaka jana aliwaomba watanzania wamchague Magufuli ili Apate Usingizi. Juzi nilipomuona akiserebuka na Harmonise pale Msoga pamoja na ndugu, marafiki na wageni waalikwa, niliamini Kwa kweli usingizi anaupata!
Zero Hours JF-Expert Member Apr 1, 2011 12,943 18,665 Jan 5, 2017 #2 Nimecheka hadi nimegonga kuku nlikuwa naendesha.
Vuitton JF-Expert Member Dec 19, 2016 351 329 Jan 5, 2017 #3 heradius12 said: Nimecheka hadi nimegonga kuku nlikuwa naendesha. Click to expand... Muokote niletee aisee
heradius12 said: Nimecheka hadi nimegonga kuku nlikuwa naendesha. Click to expand... Muokote niletee aisee
kimbendengu JF-Expert Member Jun 7, 2013 6,601 11,856 Jan 5, 2017 #4 ubaya wa kuingia madarakani kwa mtandao ndio huo!
CleverKING JF-Expert Member Apr 24, 2014 8,502 25,469 Jan 5, 2017 #5 heradius12 said: Nimecheka hadi nimegonga kuku nlikua naendesha . Click to expand...
DuppyConqueror JF-Expert Member Mar 30, 2014 9,466 6,965 Jan 5, 2017 #6 heradius12 said: Nimecheka hadi nimegonga kuku nlikuwa naendesha. Click to expand... Hongera kwa kuweka gari barabarani
heradius12 said: Nimecheka hadi nimegonga kuku nlikuwa naendesha. Click to expand... Hongera kwa kuweka gari barabarani