Hii kauli wadau mmeichukuliaje?

Hii kauli wadau mmeichukuliaje?

Raisi anapowaambia wasadizi wake kuwa wenye serikali ni yeye kama raisi na makamu wake na kwamba wao ndio walizunguka nchi nzima na pale alipoongeza kwa kuwaambia wasaidize wake waache kusumbua raia kwani kawateua tu na wengine hata hawakutarajia na kwamba hawana political responsibility na kabla hawajaamua jambo lolote wawaone yeye na makamu wake kwanza.

Aisee ulifauluje darasa la nne? Unaandikaje sentesi zaidi ya tano kwenye sentensi moja?
 
Raisi anapowaambia wasadizi wake kuwa wenye serikali ni yeye kama raisi na makamu wake na kwamba wao ndio walizunguka nchi nzima na pale alipoongeza kwa kuwaambia wasaidize wake waache kusumbua raia kwani kawateua tu na wengine hata hawakutarajia na kwamba hawana political responsibility na kabla hawajaamua jambo lolote wawaone yeye na makamu wake kwanza.
Hapo hujaelewa nini,?bavicha mnasubiri Rais aongee mpate kufinyanga kauli zake
Mbona sijaona ukiuliza Tanap wenzako kuhusu lowassa kufurahia marufuku ya mikutano ya hadhara
 
Uwezo wako wa kuelewa ni tiamaji tiamaji
 
ha ha kwa sababu ni Mwanza Mbeya Arusha Dar es salaam hakumhusu ni mbaguzi mkabila sana
Hakuna jambo lililoumiza nyoyo za watu kama ile bomoa bomoa iliyokuja kuzuiwa na Mahakama Dar. Nikilinganisha na hili la machinga linakuwa "peanut" ila sikumsikia kusema lolote. What's going on with this man!
 
Hiyo ni sifa Kuu ya wafuasi wa chadema
Lowassa kasema mikutano ya ndani mitamu.kwa hiyo tusisikie tena fyoko fyoko za kulalamikia mikutano ya hadhara
 
Hakuna jambo lililoumiza nyoyo za watu kama ile bomoa bomoa iliyokuja kuzuiwa na Mahakama Dar. Nikilinganisha na hili la machinga linakuwa "peanut" ila sikumsikia kusema lolote. What's going on with this man!
anashangaza anapofanya maamuzi kwa mafungu ya watanzania ingekuwa mara ya kwanza tungenyamaza lakini yupo sensitive na mwanza manake hao ndio watanzania kuliko wengine wana damu na nyama kuliko wengine uongozi wake wa manati na ni hovyo
 
Ndumu ndio maana zinahalalishwa kwa kasi mamtoni.
Humung'unyi maneno.
 
Udikteta uchwara naona upo kazini Kama kawa
 
Umejiuliza mbona wale vijana wa UDOM walitimuliwa bila huruma?

Nachokiana hapa huenda mkuu ameshaanza kuona dalili ya yeye kuchukiwa na wananchi.
Mke wake na mama Suluhu wamemshauri abadilike baada ya kugundua kuwa wananchi wa kawaida wamemchukia sana
 
ha ha kwa sababu ni Mwanza Mbeya Arusha Dar es salaam hakumhusu ni mbaguzi mkabila sana
Machinga wa mikoa mingine wakifanya biashara bila kufuata sheria napo atathubutu kukemea? 'Maana kasema leo ndiyo mwisho kuongelea mambo ya machinga na wachimbaji madini wadogo wadogo live.
 
Hakuna jambo lililoumiza nyoyo za watu kama ile bomoa bomoa iliyokuja kuzuiwa na Mahakama Dar. Nikilinganisha na hili la machinga linakuwa "peanut" ila sikumsikia kusema lolote. What's going on with this man!
Ile bomoa bomoa ya nyumba 500 kule kivule-Ukonga ilikuwa ya kinyama zaidi lakini kwa kuwa wakazi wa pale si wasukuma ndiyo maana hakutaka kupazungumzia kabsa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom