Hii kauli wadau mmeichukuliaje?

Hii kauli wadau mmeichukuliaje?

Just a summary:

Raisi anapowaambia wasadizi wake kuwa wenye wajubu ni yeye kama raisi na makamu wake ambao ndio walizunguka nchi nzima na amewataka wasaidize wake waache kusumbua wananchi kwani kawateua tu na wengine hata hawakutarajia na kwamba hawana political responsibility.

kawaambia pia kabla hawajaamua jambo lolote wamuone yeye na makamu wake kwanza kupata idhini yao.

Mh.anasisitiza kiongozi yoyote asieweza kufuata maagizo aache kazi.
Naaum...'na asiyetaka haya aache kazi'...huyu ndiye Rais magufuli tuliyempa dhamana kwa kura nyingi nyingi....hana ubia na wateule wake.KUDOS JPM!
 
Kwa hiyo alipaswa kuzungumza na wahusika wote ambao wanaenda kinyume na maelekezo yake ama nje ya Sheria waache tabia hiyo ( mazungumzo privately) na sio public, ama kumuagiza waziri mwenye dhamana awaonye ama kuwakumbusha wanapotoka nje ya utaratibu ama kufanya maamuzi ya kukurupuka yanayopelekea wananchi kuumia
Ni bora kasema.wazi ili ajiweke.mbali na upuuzi wa maamuzi wanayofanya.hao wakuu wa mikoa na kunadi kua HAPA KAZI na.wananchi kujua ni magu mwenyewe,pia inasaidia kufikia ujumbe kwa kina bwana Kondakta maana wameanza kulalamikiwa na viongozi wenzao kuingilia majukumu yasiyo.wahusu
 
Jana ilikuwa kama mwalim mkuu kuita wanafunzi wake officini yani full ndio,ndio,ndio,ndio
 
Nilichogundua leo ni kuwa wasaidizi wake hawana nafasi ya kushauri bali ni kupokea maagizo tu.

Sikutegemea kama wewe ungekuwa miongoni mwa waliochelewa kufanya ugunduzi huo! Umechelewa kuliko kawaida.
 
Mi aliniacha hoi aliposema yeye na vice President ndio wenye serikali na kama kuna suala lolote waulizwe wao. Nimejiuliza maswali mengi sana yaliyokosa majibu.
 
Ila wateule wa rais wanapaswa kujiangalia upya.haiwezekani watu na heshima zenu mkaendeshwa kama watoto wadogo hata kama ni raha kuwa na madaraka aise.
 
kiongozi wa aina hiyo hana uwezo wa uongozi kama aunachaguwa viongozi wa kukusaidia kwa mujibu wa sharia lazima uwaheshimu kama unawaona hawakufai basi waondoe lakini sio kuwavunjia heshima utadharauliwa na wananchi kweli kabisa
Kuna tatizo mahali fulani, nadhani CCM wanapaswa kutafakari sana kuelekea 2020!
 
Just a summary:

Raisi anapowaambia wasadizi wake kuwa wenye wajubu ni yeye kama raisi na makamu wake ambao ndio walizunguka nchi nzima na amewataka wasaidize wake waache kusumbua wananchi kwani kawateua tu na wengine hata hawakutarajia na kwamba hawana political responsibility.

kawaambia pia kabla hawajaamua jambo lolote wamuone yeye na makamu wake kwanza kupata idhini yao.

Mh.anasisitiza kiongozi yoyote asieweza kufuata maagizo aache kazi.
Kilichoelezwa hapa ni ukweli na tatizo kubwa la watanzania hatupendi kambiwa ukweli,tumezoea uongo na ndo tunaupenda,tubadilike jamani
 
watu wa mikoa hii Mwanza,Shinyanga na simiyu si kuchezewa na mtu.
 
Iko poa huo ndio ukweli yeye aliizunguka nchi na anaijua vema. hakuna alieomba kuteuliwa kuwa mkurugenzi, mkuu wa wilaya ama mkoa
basi na yeye afanye kazi nchi nzima na hakukuwa na haja ya kuwateua mana uwezo wa kufanya kazi nchi nzima peke yake na makamo wake anaweza.
 
kama kila kitu lazima kwanza yeye aambiwe, basi hafai kufanya naye kazi
 
Mkuu mtukufu safi sana wakuu wa mikoa wa wilaya na watumishi wa ngazi za juu wanatakiwa wawasiliane na wewe kabla ya kufanya kazi kwa kufuata taratibu na sheria za utumishi wa uma ni wewe tu wakusikilize safi sana
 
Huyo ndiyo mwenye uthubutu tuliemtaraji,watanzana tutakuwa waajabu maana kuna wakati tuliomba kupata rais mwenye kuweza kuamua na kusimamia manbo,sasa tukishangaa anapofanya hayo tutakuwa wanafiki.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom