kagulilo1
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 302
- 279
tafsiri isiyo rasmi "ikiwa kufichua uovu kutachukuliwa kama ni makosa basi mnaongozwa na waovu" Kule uyahudi naskia kuna uovu unatakiwa uongelewe chumbaniWeka kwa kiswahili mkuu aseeh
tafsiri isiyo rasmi "ikiwa kufichua uovu kutachukuliwa kama ni makosa basi mnaongozwa na waovu" Kule uyahudi naskia kuna uovu unatakiwa uongelewe chumbaniWeka kwa kiswahili mkuu aseeh
Precisely inahusu serikali ya awamu ya tano mwanzo mwisho .....Hii kauli naona kama inatuhusu sisi ukilinganisha na hali ilivyo hivi sasa hapa nchini!View attachment 582684
Hizo quotes mbona huwa ni za wadhungu tu hamnaga wavietnam au waarabu wanaoweza kuwa quoted
Sent using Jamii Forums mobile app
Aiseetafsiri isiyo rasmi "ikiwa kufichua uovu kutachukuliwa kama ni makosa basi mnaongozwa na waovu" Kule uyahudi naskia kuna uovu unatakiwa uongelewe chumbani
cc: JoseverestTeh teh teh. Ameshasikia ila ujumbe haujafika maana kidhungu kinamsumbua.
Mod???Sawa mod
Sent from my Iphone 7 using JamiiForums mobile app