Hii kasi ya Nyalandu imetokea wapi?

Hii kasi ya Nyalandu imetokea wapi?

Miwatamu

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2012
Posts
1,450
Reaction score
490
Tangu waziri kagasheki ang'atuke kwenye kiti cha uwaziri, naibu wake ameibuka ghafla na kutaka kujionesha kama ndie mtu mwenye dawa ya ugonjwa sugu wa ujangili katika wizara hiyo. Kwa baadhi yetu, tunaona kama spidi hiyo ni gia ya kufukuzia kiti alichoachia boss wake! Lakini swali la msingi ni je, mnofu uliowashinda watangulizi wake karibia 6 yeye ataweza kuumeza?! TAFAKARI!
 
Kibaya zaidi anaponda tume ya mh j. Lembeli jamaa namuona kama hana nia jema ila kujitafutia ulaji tu.
 
Tangu waziri kagasheki ang'atuke kwenye kiti cha uwaziri, naibu wake ameibuka ghafla na kutaka kujionesha kama ndie mtu mwenye dawa ya ugonjwa sugu wa ujangili katika wizara hiyo. Kwa baadhi yetu, tunaona kama spidi hiyo ni gia ya kufukuzia kiti alichoachia boss wake! Lakini swali la msingi ni je, mnofu uliowashinda watangulizi wake karibia 6 yeye ataweza kuumeza?! TAFAKARI!

Uwaziri ndugu, wewe unadhani ni nini?
 
Nami naiona picha kama inachezwa kuelekea huko!
 
Watanzania bwana!! Mtu afanye kazi, kosa; akiwa hashughuliki, ataambiwa mzigo! Heri walioamua kutokuwa wanasiasa!
 
Yani mtu akifanya Kazi kosa, akifanya shughuri shida! akishughulika ndo hamtaki.
 
Ilikuwepo siku zote lakini alikuwa anampa waziri wake kwa ushauri zaidi.
 
Tangu waziri kagasheki ang'atuke kwenye kiti cha uwaziri, naibu wake ameibuka ghafla na kutaka kujionesha kama ndie mtu mwenye dawa ya ugonjwa sugu wa ujangili katika wizara hiyo. Kwa baadhi yetu, tunaona kama spidi hiyo ni gia ya kufukuzia kiti alichoachia boss wake! Lakini swali la msingi ni je, mnofu uliowashinda watangulizi wake karibia 6 yeye ataweza kuumeza?! TAFAKARI!
Tatizo la vijana wengi gongo kwa sana yani mtu akifanya kazi vema wanakejeli asipofanya matusi kipi chemamkwenu.
 
namwunga mkono mtoa hoja, fuatilia wizara zote alizowahi jupewa unaibu lazima waziri apate misukosuko...
 
Ana kampuni ya utalii wamtoe ana mgongano wa kimaslahi hata majangili pengine alikuwa anakutana nao mbugani lakini anawahifadhi majina
 
Nilifikiria the same maana mkuu wake hakuwahi fanya fukuza fukuza kama hii anayofanya naibu wake zaidi ya waziri kagasheki kumlalamikia yule mkuu wa police arusha kuwa alihusika kuwatolosha majangiri ila hadi leo hajachukuliwa hatau yoyote pamoja na ushahidi kuwa wazi na badala yake alielalamika ndiyo kajiwajibisha kwa kujihudhuru uwaziri(only in tanganyika)
Hii speed ya shemeji ina lengo moja tu,nalo ni kuwa waziri kamili,hata kama ingekuwa wewe hii nafasi usingeiachia ipite tu lazima ungefanya makeke kufikia malengo yako,hongera nyalandu
 
Tangu waziri kagasheki ang'atuke kwenye kiti cha uwaziri, naibu wake ameibuka ghafla na kutaka kujionesha kama ndie mtu mwenye dawa ya ugonjwa sugu wa ujangili katika wizara hiyo. Kwa baadhi yetu, tunaona kama spidi hiyo ni gia ya kufukuzia kiti alichoachia boss wake! Lakini swali la msingi ni je, mnofu uliowashinda watangulizi wake karibia 6 yeye ataweza kuumeza?! TAFAKARI!

Akibahatika kuupata nae anatulia. Umesahau kipindi kile baraza jingine likitaka kubadilishwa Mwanri alivyojituma hadi akawa anaingia ndani ya makalvati?... Baada ya uteuzi ulimsikia tena wapi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom