Hii Karata waliyocheza CHADEMA inaweza ikawa imetoa mrejesho ulio hasi kwao kwa upande mwingine

Watu wenyewe wamechangia ili kuwakomoa ccm na ndiyo maana humu kutwa wanasema ccm wameumia kwa watu kuchanga hizo hela.
 
Viongozi wakuu wa CHADEMA, Jana walikutana na Nyundo ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, pale walipopatikana na hatia ya jumla ya makosa kumi na mbili(12)na kutakiwa kulipa faini ya jumla ya fedha kiasi Cha Tsh.350 milioni au kwenda jera miezi mitano(5) kwa kila mmoja.

Kama kawaida ya wanasiasa wakaamua kuitumia Hukumu hiyo Kama karata ya kisiasa, wote tunajua Mbowe hawezi kukosa milioni 70, Msigwa hawezi kukosa milioni 30, lakini wakaona ngoja wapime upepo ni kwa kiasi gani bado wana ushawishi katika jamii.

Kwa macho ya kwaida unaweza kusema wamefanikiwa, lakini ukizama ndani zaidi unaweza kuanza kutilia mashaka ushawishi wa chama hiki kikuu Cha upinzani.
CHADEMA walihitaji watu elfu hamsini tu(50000) wawachangie Tsh.10000 wawe wote wametoka ndani Leo hii.

Lakini hadi muda huu, Ni watatu tu Kati ya 7 walikuwa wamelipiwa( hapa Dr.Mashinji si sehemu). Sasa hoja inaweza kiibuka inawezekana vipi katika Taifa lenye watu karibia milioni 60, tuseme watu wazima ni nusu yake, Chama kinachojinasibu kuwa kinakubalika Sana na kulikuwa na habari kuwa kampeni ya CHADEMA ni msingi imetengeneza mamilioni ya Wanachama halafu hadi sasa Chama hiki kimekosa watu elfu hamsini wa kutoa ten ten.

Hii karata inaweza ikawa imewapa umaarufu wa muda CHADEMA lakini inaweza pia ikawa imewaacha uchi hasa kwenye nguvu yao ushawishi kwa Watanzania kwa Sasa.
Viongozi hawakutangaza mchango,Bali mdau mmoja wa jf aliwataka viongozi wa CDM kutoa a/c namba watu wachangie.
Kumbuka kuwa hili lilifanyika humu jf, na siyo watz wote wenye simu kubwa na si wengi wanaoifahamu jf.

Hata kwa uchache huu,tayari imewaonesha nguvu ya umma inafanyaje kazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kikubwa au kidogo? Nijuavyo ni kuwa imeshangaza wengi kuwa bado CDM inapendwa kuliko haya maigizo ya kuunga juhudi
Sio kweli, pesa mpaka sasa inategemea zaidi michango ya wabunge kuliko ya watu wa kawaida.

Kwa upande mwingine ndio dhumuni la uzi huu, kama hii hamasa ya michango Chadema inatumika kama kipimo cha Oct. Cha msingi ni bora wangekuwa wakweli kutengeneza sinema za gerezani.
 
Viongozi hawakutangaza mchango,Bali mdau mmoja wa jf aliwataka viongozi wa CDM kutoa a/c namba watu wachangie.
Kumbuka kuwa hili lilifanyika humu jf, na siyo watz wote wenye simu kubwa na si wengi wanaoifahamu jf.

Hata kwa uchache huu,tayari imewaonesha nguvu ya umma inafanyaje kazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Si kwamba Dada Mange kimambi ndio aliyeanza kuhamasisha watu wachangie?
 
Viongozi wakuu wa CHADEMA, Jana walikutana na Nyundo ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, pale walipopatikana na hatia ya jumla ya makosa kumi na mbili(12)na kutakiwa kulipa faini ya jumla ya fedha kiasi Cha Tsh.350 milioni au kwenda jera miezi mitano(5) kwa kila mmoja.

Kama kawaida ya wanasiasa wakaamua kuitumia Hukumu hiyo Kama karata ya kisiasa, wote tunajua Mbowe hawezi kukosa milioni 70, Msigwa hawezi kukosa milioni 30, lakini wakaona ngoja wapime upepo ni kwa kiasi gani bado wana ushawishi katika jamii.

Kwa macho ya kwaida unaweza kusema wamefanikiwa, lakini ukizama ndani zaidi unaweza kuanza kutilia mashaka ushawishi wa chama hiki kikuu Cha upinzani.
CHADEMA walihitaji watu elfu hamsini tu(50000) wawachangie Tsh.10000 wawe wote wametoka ndani Leo hii.

Lakini hadi muda huu, Ni watatu tu Kati ya 7 walikuwa wamelipiwa( hapa Dr.Mashinji si sehemu). Sasa hoja inaweza kiibuka inawezekana vipi katika Taifa lenye watu karibia milioni 60, tuseme watu wazima ni nusu yake, Chama kinachojinasibu kuwa kinakubalika Sana na kulikuwa na habari kuwa kampeni ya CHADEMA ni msingi imetengeneza mamilioni ya Wanachama halafu hadi sasa Chama hiki kimekosa watu elfu hamsini wa kutoa ten ten.

Hii karata inaweza ikawa imewapa umaarufu wa muda CHADEMA lakini inaweza pia ikawa imewaacha uchi hasa kwenye nguvu yao ushawishi kwa Watanzania kwa Sasa.
Ungeanza kwa kuweka muamala wako hapa wa iyo 10.
 
Kuna faida ambayo haisemwi nayo ni kupata namba za Watanzania hivyo kuwa rahisi kuhabarisha umma kupitia hizo namba zilizofanya miamala ya kuchangia faini
 
Mkuu buku mbili mbili jero just watu laki mbili wanawatoa wote na kubaki na chenji ya kwenda kura bata kwa Madiba. Basi tufanye jero jero, watu milioni moja tu wanawatoa na chenji inabaki. Kwani CDM inawanachama milioni ngapi!? Wakereketwa je, what happened!? Mgomo au!?
Mpaka usiku masaa 48 ndiyo yatakuwa yametia tokea zoezi la michango lianze,mpaka takwimu za jana ilikuwa mil 234+!Mpaka hapo ni mafanikio makubwa!
 
Michango tunaoisikia ikihimizwa usiku na mchana, ni mbinu mpya ya kupiga kura za maoni (referendum) na kupata uhalisia wa nini kinakuja Oct 2020. Hii ni kama Mock Test ya darasa la 7 au form 4, wachangiaji wakiwa wengi unapata picha kama ukiingia ulingoni utapata kura ngapi.

Hakuna mbunge wa CHADEMA aliyeshidwa kilipa faini yake mwenyewe tena ukilinganisha ni mshahara wa miezi mitatu hadi sita, wabunge wote hao wamedumu muhula wote wa bunge la 11.

Kitu ambacho CHADEMA imeshidwa kujifunza ndani ya miaka 28 ya uhai wake, ni kuwa watanzania ni watu wakimya sana, utadhani kama hawaoni wala hawasiki lakini mwisho wa siku watakujibu bila hata wewe kuwauliza. Mange anaweza kuwapa somo kwenye eneo hili.
Nakubaliana nawe sehemu mojawatanzania ni watu wakimya,waweza dhani hawaoni,hawasikii,ila watakujibu bila kuuliza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiufupi Jiwe alijua kwa kununua wapinzani na kuwakandamiza wasiohama atakuwa amefanikiwa kuwawin watanzania,ajabu ni kuwa bado watu wanaupenda upinzani,michango inaendelea kutoka kwa wananchi!
Halafu kwanini mnateseka kuona CDM inachangiwa hukumu?
Mbona hujauliza kwanini CCM imemlipia Mashinji wakati alikuwa na mshahara kwa kipindi chote cha ukatibu mkuu?Iweje unahoji kwanini CDM wachangiwe?Nyani haoni kundule!
 
.
Viongozi hawakutangaza mchango,Bali mdau mmoja wa jf aliwataka viongozi wa CDM kutoa a/c namba watu wachangie.
Kumbuka kuwa hili lilifanyika humu jf, na siyo watz wote wenye simu kubwa na si wengi wanaoifahamu jf.

Hata kwa uchache huu,tayari imewaonesha nguvu ya umma inafanyaje kazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mdau wa Jf!! Huwezi kuwa serious Buda. Kwamba mdau huyu asingefanya hivo Mbowe asingejilipia hiyo faini, kama ni hivo kwanini wasijilipie wakatoka Sasa kwakuwa kuchangiwa haikuwa plani yao. Siasa Kama siasa zingine Buda though naona kama plan haijaenda vile walivotazamia
 
Mmepima ...akina nani?

Sasa ndio utulie uone kinachoendelea...

Sent using Jamii Forums mobile app
Mission already proved failure Buda. Haiwezekani chama chenye wanachama zaidi ya seven milion( according to CHADEMA ni wakose msingi) watu milioni moja wa kuwachangia jero jero ndani ya 24 hrs!? Hiyo nguvu yenu ya Umma ni ipi!?
 
Back
Top Bottom