Viongozi hawakutangaza mchango,Bali mdau mmoja wa jf aliwataka viongozi wa CDM kutoa a/c namba watu wachangie.Viongozi wakuu wa CHADEMA, Jana walikutana na Nyundo ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, pale walipopatikana na hatia ya jumla ya makosa kumi na mbili(12)na kutakiwa kulipa faini ya jumla ya fedha kiasi Cha Tsh.350 milioni au kwenda jera miezi mitano(5) kwa kila mmoja.
Kama kawaida ya wanasiasa wakaamua kuitumia Hukumu hiyo Kama karata ya kisiasa, wote tunajua Mbowe hawezi kukosa milioni 70, Msigwa hawezi kukosa milioni 30, lakini wakaona ngoja wapime upepo ni kwa kiasi gani bado wana ushawishi katika jamii.
Kwa macho ya kwaida unaweza kusema wamefanikiwa, lakini ukizama ndani zaidi unaweza kuanza kutilia mashaka ushawishi wa chama hiki kikuu Cha upinzani.
CHADEMA walihitaji watu elfu hamsini tu(50000) wawachangie Tsh.10000 wawe wote wametoka ndani Leo hii.
Lakini hadi muda huu, Ni watatu tu Kati ya 7 walikuwa wamelipiwa( hapa Dr.Mashinji si sehemu). Sasa hoja inaweza kiibuka inawezekana vipi katika Taifa lenye watu karibia milioni 60, tuseme watu wazima ni nusu yake, Chama kinachojinasibu kuwa kinakubalika Sana na kulikuwa na habari kuwa kampeni ya CHADEMA ni msingi imetengeneza mamilioni ya Wanachama halafu hadi sasa Chama hiki kimekosa watu elfu hamsini wa kutoa ten ten.
Hii karata inaweza ikawa imewapa umaarufu wa muda CHADEMA lakini inaweza pia ikawa imewaacha uchi hasa kwenye nguvu yao ushawishi kwa Watanzania kwa Sasa.
Sio kweli, pesa mpaka sasa inategemea zaidi michango ya wabunge kuliko ya watu wa kawaida.kikubwa au kidogo? Nijuavyo ni kuwa imeshangaza wengi kuwa bado CDM inapendwa kuliko haya maigizo ya kuunga juhudi
Si kwamba Dada Mange kimambi ndio aliyeanza kuhamasisha watu wachangie?Viongozi hawakutangaza mchango,Bali mdau mmoja wa jf aliwataka viongozi wa CDM kutoa a/c namba watu wachangie.
Kumbuka kuwa hili lilifanyika humu jf, na siyo watz wote wenye simu kubwa na si wengi wanaoifahamu jf.
Hata kwa uchache huu,tayari imewaonesha nguvu ya umma inafanyaje kazi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Shahidi ni mitandao ya simu, usiwe lofa la kubisha tu! Ushahidi usio na mashaka, the list ya waliochangia is there. Kumbe wewe lofa!Sio kweli, pesa mpaka sasa inategemea zaidi michango ya wabunge kuliko ya watu wa kawaida.
Ungeanza kwa kuweka muamala wako hapa wa iyo 10.Viongozi wakuu wa CHADEMA, Jana walikutana na Nyundo ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, pale walipopatikana na hatia ya jumla ya makosa kumi na mbili(12)na kutakiwa kulipa faini ya jumla ya fedha kiasi Cha Tsh.350 milioni au kwenda jera miezi mitano(5) kwa kila mmoja.
Kama kawaida ya wanasiasa wakaamua kuitumia Hukumu hiyo Kama karata ya kisiasa, wote tunajua Mbowe hawezi kukosa milioni 70, Msigwa hawezi kukosa milioni 30, lakini wakaona ngoja wapime upepo ni kwa kiasi gani bado wana ushawishi katika jamii.
Kwa macho ya kwaida unaweza kusema wamefanikiwa, lakini ukizama ndani zaidi unaweza kuanza kutilia mashaka ushawishi wa chama hiki kikuu Cha upinzani.
CHADEMA walihitaji watu elfu hamsini tu(50000) wawachangie Tsh.10000 wawe wote wametoka ndani Leo hii.
Lakini hadi muda huu, Ni watatu tu Kati ya 7 walikuwa wamelipiwa( hapa Dr.Mashinji si sehemu). Sasa hoja inaweza kiibuka inawezekana vipi katika Taifa lenye watu karibia milioni 60, tuseme watu wazima ni nusu yake, Chama kinachojinasibu kuwa kinakubalika Sana na kulikuwa na habari kuwa kampeni ya CHADEMA ni msingi imetengeneza mamilioni ya Wanachama halafu hadi sasa Chama hiki kimekosa watu elfu hamsini wa kutoa ten ten.
Hii karata inaweza ikawa imewapa umaarufu wa muda CHADEMA lakini inaweza pia ikawa imewaacha uchi hasa kwenye nguvu yao ushawishi kwa Watanzania kwa Sasa.
Kuna faida ambayo haisemwi nayo ni kupata namba za Watanzania hivyo kuwa rahisi kuhabarisha umma kupitia hizo namba zilizofanya miamala ya kuchangia fainiViongozi wakuu wa CHADEMA, Jana walikutana na Nyundo ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, pale walipopatikana na hatia ya jumla ya makosa kumi na mbili(12)na kutakiwa kulipa faini ya jumla ya fedha kiasi Cha Tsh.350 milioni au kwenda jera miezi mitano(5) kwa kila mmoja.
Kama kawaida ya wanasiasa wakaamua kuitumia Hukumu hiyo Kama karata ya kisiasa, wote tunajua Mbowe hawezi kukosa milioni 70, Msigwa hawezi kukosa milioni 30, lakini wakaona ngoja wapime upepo ni kwa kiasi gani bado wana ushawishi katika jamii.
Kwa macho ya kwaida unaweza kusema wamefanikiwa, lakini ukizama ndani zaidi unaweza kuanza kutilia mashaka ushawishi wa chama hiki kikuu Cha upinzani.
CHADEMA walihitaji watu elfu hamsini tu(50000) wawachangie Tsh.10000 wawe wote wametoka ndani Leo hii.
Lakini hadi muda huu, Ni watatu tu Kati ya 7 walikuwa wamelipiwa( hapa Dr.Mashinji si sehemu). Sasa hoja inaweza kiibuka inawezekana vipi katika Taifa lenye watu karibia milioni 60, tuseme watu wazima ni nusu yake, Chama kinachojinasibu kuwa kinakubalika Sana na kulikuwa na habari kuwa kampeni ya CHADEMA ni msingi imetengeneza mamilioni ya Wanachama halafu hadi sasa Chama hiki kimekosa watu elfu hamsini wa kutoa ten ten.
Hii karata inaweza ikawa imewapa umaarufu wa muda CHADEMA lakini inaweza pia ikawa imewaacha uchi hasa kwenye nguvu yao ushawishi kwa Watanzania kwa Sasa.
Mpaka usiku masaa 48 ndiyo yatakuwa yametia tokea zoezi la michango lianze,mpaka takwimu za jana ilikuwa mil 234+!Mpaka hapo ni mafanikio makubwa!Mkuu buku mbili mbili jero just watu laki mbili wanawatoa wote na kubaki na chenji ya kwenda kura bata kwa Madiba. Basi tufanye jero jero, watu milioni moja tu wanawatoa na chenji inabaki. Kwani CDM inawanachama milioni ngapi!? Wakereketwa je, what happened!? Mgomo au!?
Duuh, wanasema wana wafuasi milioni saba.
Nakubaliana nawe sehemu mojawatanzania ni watu wakimya,waweza dhani hawaoni,hawasikii,ila watakujibu bila kuulizaMichango tunaoisikia ikihimizwa usiku na mchana, ni mbinu mpya ya kupiga kura za maoni (referendum) na kupata uhalisia wa nini kinakuja Oct 2020. Hii ni kama Mock Test ya darasa la 7 au form 4, wachangiaji wakiwa wengi unapata picha kama ukiingia ulingoni utapata kura ngapi.
Hakuna mbunge wa CHADEMA aliyeshidwa kilipa faini yake mwenyewe tena ukilinganisha ni mshahara wa miezi mitatu hadi sita, wabunge wote hao wamedumu muhula wote wa bunge la 11.
Kitu ambacho CHADEMA imeshidwa kujifunza ndani ya miaka 28 ya uhai wake, ni kuwa watanzania ni watu wakimya sana, utadhani kama hawaoni wala hawasiki lakini mwisho wa siku watakujibu bila hata wewe kuwauliza. Mange anaweza kuwapa somo kwenye eneo hili.
hawaamini wanachokionaboss wangu ni ccm nimemshawishi akachanga laki pipozzkikubwa au kidogo? Nijuavyo ni kuwa imeshangaza wengi kuwa bado CDM inapendwa kuliko haya maigizo ya kuunga juhudi
Wazungu hawana huruma jamani, Lisu amebandikwa viraka mwili mzima bado wamepata kaupenyo, alaaniwe aliyegundua K-Y jelly
Boss amefurahishwa na sera ya ushoga!hawaamini wanachokionaboss wangu ni ccm nimemshawishi akachanga laki pipozz
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata Mimi kwanza sikujua juu ya hukumu hiyo.Mimi ni mfuasi na sijachangia....hivyo kaa kwa kutulia
Wewe kweli Ni Detective,una upeo mkubwa Sana Kushinda umri wako.Hiv ww kwa akili yako unadhan ni kila mtu ana uwezo wa kutoa kiasi kikubwa cha pesa?
Sio wote.. kwa hiyo hizo ni pesa ndogo ndogo tu ndio zimewafikisha hapo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mdau wa Jf!! Huwezi kuwa serious Buda. Kwamba mdau huyu asingefanya hivo Mbowe asingejilipia hiyo faini, kama ni hivo kwanini wasijilipie wakatoka Sasa kwakuwa kuchangiwa haikuwa plani yao. Siasa Kama siasa zingine Buda though naona kama plan haijaenda vile walivotazamiaViongozi hawakutangaza mchango,Bali mdau mmoja wa jf aliwataka viongozi wa CDM kutoa a/c namba watu wachangie.
Kumbuka kuwa hili lilifanyika humu jf, na siyo watz wote wenye simu kubwa na si wengi wanaoifahamu jf.
Hata kwa uchache huu,tayari imewaonesha nguvu ya umma inafanyaje kazi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wafuasi ambao hawawezi kutoa hata buku mbili mbili, then hicho chama kinaishije Buda!? The good thing mmepima upepo na mumeuona, you are not supported guys!
Point mfu si anaweza kuenda kwa wakalaSi kwamba hakuna au idadi uliosema haifiki watu wa kuchangia wapo wengi ila wanahofu na namba zao za simu si zilisajiliwa kwa alama za vidole?
Sent using Jamii Forums mobile app