biarakeyz
Senior Member
- Jan 19, 2016
- 183
- 47
Habari zenu wakuu,
Nimekuwa nikisumbuliwa natatzo ambalo mpaka sasa sijapata ufumbuzi wake.mara ya kwanza kabisa mwanzo wa tatizo nikwamba kila nilipoenda aja kubwa, baada ya mda sehemu ya aja ilikuwa inauma.
Nilikaa kama mda wa wiki 3 bila kwenda kupima sababu kipnd icho nilikwa kwenye mitihan baada ya apo ndipo nlipo enda maabara flan kwenda kupima cho wakadai ni minyoo,ndipo nlipotumia Albendazole baada ya mda tatizo likaacha nilipo mariza dozi tatizo likarudia ndipo nikamuaa kunywa dawa za minyoo continuously mpaka tatizo likaacha lakin kitu nilichoexperience nikwamba hata mwili nao ukawa unapungua.
Baada ya miezi mi3 hivi nkaenda kupima tena choo wakasema ninaminyoo,ikabidi nianze kutumia dawa za minyoo tena,nlpo maliza dozi nikaenda kupima choo,pamoja na HIV, nikakuta minyoo sina wala HIV n Negative,ikaibdi ninunue na dawa za Amiba.
Nimetumia dawa nyingi kweli lakini bado naona mwili aurud to be as previous,kwa sababu kwenye yo LAB walinambia minyoo ndo inafanya mwili upungue si kwa sababu nutrients zinatumika sana na wenyewe kuliko mwili.
Nikaenda pia DISPENSARY FLAN AMBAYO NI PRIVATE walinambia tatzo ni chemicals zmezd mwilin,wakanpatia dawa ya mitishamba nimetumia lakini wapi mwili aurudi katika hali yake,nimetumia dawa nyingi had sasa nimechoka nimeona bora niombe ushauri kwenu.