Hii kali! wife kanipongeza kwa kuchepuka

Unaweza kushangaa na kujiuliza maswali mengi maana kuchepuka si jambo jema.Yeye kanipongeza kutokana na kwamba nimeweza kuwahi nyumbani pamoja na kwamba ijumaa kunakuwa na foleni ndefu ya magari maana watu wengi wanawahi kutoka maofisini kwa sababu ni ijumaa.

Ila ningematwa na Traffic ningepigwa faini ndefu maana kuchepuka ni kosa kisheria. Kwa hapo hata wife angenilaumu kwa nini nimechepuka ila kwa sababu sijakamatwa na nimewahi home kafurahi na kunipongeza.

Pumbavuuuu....!!!! Shenzi zako...!!!! Acha ujinga wako bana....!!! Watu tunatoa macho hapa kusoma kumbe umeeleza upuuzi huu...!!!! Muone basi....!!!!! Hiloooo....!!!!!!
 
Wakati mwingine mtu unapigwa na bumbuwazi kuwa huu uzi umeandikwa na mwanaume kwa maana ya mwanaume au ni mvulana wa primary...??
 
Pumbavuuuu....!!!! Shenzi zako...!!!! Acha ujinga wako bana....!!! Watu tunatoa macho hapa kusoma kumbe umeeleza upuuzi huu...!!!! Muone basi....!!!!! Hiloooo....!!!!!!

Ha ha haaaa! Ulivoona tu heading ukatoa mimacho, then ukajiwekea habari kichwani mwako! Mpo wengi wa hivyo!
 
Wakati mwingine mtu unapigwa na bumbuwazi kuwa huu uzi umeandikwa na mwanaume kwa maana ya mwanaume au ni mvulana wa primary...??

Shida yenu mkiona heading tu, mnatafsiri kivyenu kabla ya kusoma habari ndo maana mnapanick ovyo!
 
Ha ha ha! Mkuu kumbe unawajua! Wakiona kichwa cha habari tu wanajiwekea wenyewe habari kamili vichwani mwao! Wakikuta tofauti na fikra zao wanaanza kutukana kwa hasira!

Kama ulikuwa unafahamu kuwa hii habari ni joke kwanini hukuipeleka jukwaa husika la joke...???
Watu wanakulaumu hapo tu...
 
Pumbavuuuu....!!!! Shenzi zako...!!!! Acha ujinga wako bana....!!! Watu tunatoa macho hapa kusoma kumbe umeeleza upuuzi huu...!!!! Muone basi....!!!!! Hiloooo....!!!!!!

ha ha ha ndo nyie mnaonunua magazeti ya udaku kwakuangalia kichwa cha habari halafu story unakuta nyingine
 
ha ha ha ndo nyie mnaonunua magazeti ya udaku kwakuangalia kichwa cha habari halafu story unakuta nyingine

Aisee umenitoa udenda sana kusoma kumbe ujinga mtupu. Hata hivyo nashukuru kwa kuniondolea stress week end. JF hoyeeeeeeeeee......!!!!!!!!!
 
ha ha ha ndo nyie mnaonunua magazeti ya udaku kwakuangalia kichwa cha habari halafu story unakuta nyingine

Wapo wengi sana wa namna hii! Wanashobokea heading tu halafu habari wanaitabiri wenyewe!
 
Back
Top Bottom