Serikali iwachukulie hatua kali Traffic wa Buguruni wanatengeneza foleni ili kwa maksudi wapige hela

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
8,991
17,888
Serikali iwachukulie hatua kali Traffic wa Buguruni wanatengeneza foleni kwa maksudi ili wapige hela.

Hili jambo lilizungumzwa humu sana kwamba askari wa usalama barabarani ndo wanatengeneza foleni pale ili wapige pesa

Baada ya haya madai nilijichimbia kutafuta ukweli juu ya hili hili jambo ni kweli kwa asilimia 100%

Nimeshapigwa faini pale mara tatu

Na ukweli wale jamaa huwa wanakubaliana kabisa kwamba kuwe na foleni ili ukijaribu tu kuchepuka au kukwepa wanakulima pesa au hata wanafanyaga ukaguzi pale

Sasa imagine unakamatia magari pale kwenye mataa hiyo foleni itaisha kweli?

Inasikitisha sana Kikosi cha usalama barabarani mnafumbia macho huu uhuni unaofanywa na traffic wa buguruni au wanawapa mlungula?

Hii haiwezekani kikundi cha wachache kisababishe hasara na tishio kwa uchumi wa nchi kwa kusababisha foleni pale kwa sababu ya personal gain zao

Kama hamuamini nayoyasema basi wekeni uchunguzi pale hili jambo nimelichunguza lina ukweli asilimia 100%..........

Wachukuliwe hatua kali sana
 
Barabara ya mabibo kutokea ubungo maziwa,uwa wanapigisha bonge la nyororo linafika kona ya external,halafu upande wa kutokea ubungo terminal to mabibo mweupe,sasa wewe na papara zako utanue ili ukachomeke mbele unakutana nao kona pale kama 8 hivi na nguo zao nyeupe!hapo ndio utakapojua hujui
 
Ni siku nitamgonga mmoja na gari ndo watajua hawajui
 
Serikali iwachukulie hatua kali Traffic wa Buguruni wanatengeneza foleni kwa maksudi ili wapige hela.

Hili jambo lilizungumzwa humu sana kwamba askari wa usalama barabarani ndo wanatengeneza foleni pale ili wapige pesa

Baada ya haya madai nilijichimbia kutafuta ukweli juu ya hili hili jambo ni kweli kwa asilimia 100%

Nimeshapigwa faini pale mara tatu

Na ukweli wale jamaa huwa wanakubaliana kabisa kwamba kuwe na foleni ili ukijaribu tu kuchepuka au kukwepa wanakulima pesa au hata wanafanyaga ukaguzi pale

Sasa imagine unakamatia magari pale kwenye mataa hiyo foleni itaisha kweli?

Inasikitisha sana Kikosi cha usalama barabarani mnafumbia macho huu uhuni unaofanywa na traffic wa buguruni au wanawapa mlungula?

Hii haiwezekani kikundi cha wachache kisababishe hasara na tishio kwa uchumi wa nchi kwa kusababisha foleni pale kwa sababu ya personal gain zao

Kama hamuamini nayoyasema basi wekeni uchunguzi pale hili jambo nimelichunguza lina ukweli asilimia 100%..........

Wachukuliwe hatua kali sana
Hizo fines ulilipa?
 
Watakula wapi maishahara yenyewe kiduchu
 
Back
Top Bottom