Inaweza kuwa Mkuu, maana wameisha inabidi mzunguko uanze upya. Mtoto/Ndugu wa Moi - Mtoto/Ndugu wa Mwai - Mtoto/Ndugu wa KenyataHilo ndio jibu.
Inawezekama hapa Mzee Jomo Kenyata a.k.a Mzee wa Harambeeeeeeeeeee .... alikuwa anawasainisha MoU ya kuhakikisha kuwa Uhuru Kenyata anakuwa Prezidaa baada ya wao (Moi na Mwai), ndo maana Moi alipotaka kumpendelea Uhuru kabla ya Mwai palichimbika, lakini baada ya Mwai kushika Uprezidaa na kumaliza muda wake, imekuwa rahisi kwa Uhuru kukalia kiti.
Kama ni kweli hii picha,naanza kuamini Raila Odinga aliibiwa kura uchaguzi uliopita.
Fasion ndo nini?Suti za mistari ilikuwa ndio fasion enzi hizo!
fashionFashion ndo nini?