Hii kali!! Mahari 7.2million... Nitaweza Kweli?


hahaha hao wanafaa sana mume akikorofisha tu mwanao ana mtaji wa kuanza maisha mengine
 
Last edited by a moderator:
haaaa kumbe ni ndoto nilidhani kweli kitu kimetimia
kumbe nawe umeanza kuota kama yusufu?
Haoo!
Break hadi ukweni, mshenga na wazazi,

Wanazama kwa mtarajiwa wangu shansarie.

Wanasomewa taratibu za kufuata!

Hapo kila kitu kinapigwa kwa hesabu
thamani inagota 7.2million ili nipewe mke....

Aisee Ndoto hii sijaielewa!
Inamaana gani?
 
Ndg yangu , kwakua Srade yako ya kuumwa bado iko valid either active , still yet wadau wanaendelea kukupa pole , na hapa unazungumzia ndoto , nachelea kusema huenda ikawa cellebrol maleria imekimbilia kichwani !
So far hayo yatakua mauzauza.

Shemeji jamani..mbona wamtishaa mwenzio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…