Hii kali kwa Tanzania yetu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hii kali kwa Tanzania yetu

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by furaha2008, Oct 13, 2012.

 1. f

  furaha2008 Member

  #1
  Oct 13, 2012
  Joined: May 31, 2012
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hi wanajamvi. Nimepata taarifa jana zilizonickitish kweli na kuamua ku2pia kwa wana jamvi ili 2jadili elimu yetu inaelekea wapi. Nipo kijiji kimoja mkoani mtwara kwa ajiri ya kuwaletea maji wana kijiji hawa. Lakini baada ya kufika shule 1 2kakutana na makamu mwl wa shule iyo ya msingi na yafuatayo ndo maelezo yake aliyo2pa: shule ina vyumba 6, walimu 4 plus mwalimu mkuu, bt mazingira ya kufundishia ni magumu sana, kwan mwl 1 anawakusnya watoto wa madarasa kama 4 yani la 3,4,6,7 ndani ya chumba 1 huku anawafundisha wote at the same time kwani anakwambia wakati akiwa darasan anapiga mistari 4 kulingana na darasa na kuanza kufundisha la saba anawapa hesabu zao halikadharika mpaka darasa la 3 yaani kama ni hesabu mf kujumlisha mamoja mpaka makumi darasa la 3, makumi mpaka mamia darasa la 4, mamia mpaka maelfu darasa la 5, maelfu mpaka malaki darasa la 6, katika chumba 1. Ivi kwa hali hii elimu itakua? Kazi kwenu wadau!!!!!
   
 2. y

  yaasary Member

  #2
  Oct 13, 2012
  Joined: Mar 26, 2011
  Messages: 95
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 15
  kwa mawazo yangu naona hii sio sahihi sijui kwa wenye taaruma ya ualimu
  wanasemaje
   
 3. Electrical Engineer

  Electrical Engineer Member

  #3
  Oct 13, 2012
  Joined: Oct 6, 2012
  Messages: 50
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hii kali..!
   
Loading...