Akili ndogo siku zote hujadili watu, jana mkutano wa mkuu maalumu wa chama chakavu ulijaa mipasho yakujadili watu, majina yaliyotawala mkutano huo ni Lowasa, Sumaye na Gwajima. Bila mabavu ya dola chama chakavu jalalani tu.
Kuvaa gwanda hiyari jana nlikua mnamkabidhi Jp kit au mlikua mnamfunda mwali maana jana ilikua ni mipasho tuu jk utasikia mtu akitoa dongo.... Anaitikia tenaaa.... Totiiii Tupe vituu...yaaani Kiukweli ccm imechokaa badala wajadili chama kilikuaje na kinaelekea Wapi na Wapi wajenge Wapi warekebishe. Ni mipasho tuuu... Na majina ya Lowassa na sumaye na ngwajima.... Hiyo ccm kichenpatiii una bint anataka kuolewa mpeleke ccm akavundweee
Hata ukitaza kwenye picha haonyeshi yupo pamoja na wenzie kama kalazimishwa vile hapo mawazo yake anawaza dodoma kwa wanae wa dhati hasira mbaya jamani…. Ila dawa ya hasira ni maamuzi magumu….. Avunje ukimya na atubu then arudi kundini atapokelewa tu.
Haiitaji hasira …… ..yaani…. . Siasa? …… ni karata tu na kujipanga
ulimuona karume jana mkuu kwa nn hakuvaa shati la kijani??......mbona mnamuandama mzee wa watu wakati amehama kwenye chama chenu mnachojifanya kuwa kina democrasia??!!
Wanafiki waliokomaaa utawajuaje? Ni kama huyu mleta mada. Maisha yake ni kula sembe na matembele/majani ya maboga. Level ya maisha ya Lowasa kwake ni sawa na kuifikiria Mbingu.
Lakini angalia anavyosumbuka na kumfuatilia Lowasa. Huu ni unafiki na ujuha.