Hii jeuri Lowassa anaitoa wapi?

Hii jeuri Lowassa anaitoa wapi?

mkuuwamikoa

Member
Joined
Jun 26, 2016
Posts
58
Reaction score
30
1469369504256.jpg

Kwanini wenzie wote wamevaa gwanda yeye kakomalia shati nyeupe?

Kwanini anajitofautisha na wenzie wote?

Ama ana maana ambayo ni ujumbe kwa wanaoelewa kwanini anafanya vile.
Naomba mnijuze wakuu.
Mungu ibariki Tanzania.
 
Akili ndogo siku zote hujadili watu, jana mkutano wa mkuu maalumu wa chama chakavu ulijaa mipasho yakujadili watu, majina yaliyotawala mkutano huo ni Lowasa, Sumaye na Gwajima. Bila mabavu ya dola chama chakavu jalalani tu.
 
View attachment 370370
Kwanini wenzie wote wamevaa gwanda yeye kakomalia shati nyeupe?

Kwanini anajitofautisha na wenzie wote?

Ama ana maana ambayo ni ujumbe kwa wanaoelewa kwanini anafanya vile.
Naomba mnijuze wakuu.
Mungu ibariki Tanzania.
ulimuona karume jana mkuu kwa nn hakuvaa shati la kijani??......mbona mnamuandama mzee wa watu wakati amehama kwenye chama chenu mnachojifanya kuwa kina democrasia??!!
 
Hahahaha swali zuri sana,kwanini,mie naona kama kuwa huko hata yeye bado hakujamuingia sana,japo kisha waharibia kick,maana matusi waliyomtukana kuyageuza yawe vinginevyo msala hahahaha
 
Salu bwana ati chama nini?kuwa.hata na.adabu kwa chama chenye serikali inayokuongoza na wewe,hata kama ni mwanachama wa chochote kile,japo kwa sasa vilivyopo sidhan kama vinanguvu na mipango,hadi utoe maneno kama hayo
 

Huyu Lowassa ni nani exactly?

Mbona hata akionekana amepotea kisiasa bado anazungumzwa sana?

Hata wengine wanasema kuwa umaarufu wake umepungua ila mhh bado tu anaongelewa?

Ni mwanasiasa gani kwa sasa anayeweza kukaa mbali na Kamera za kisiasa kwa muda mrefu na akarudi, na bado watu wakapata la kuongea/kumzungumzia hata kwa kitu kidogo afanyacho?

Inaonekana hatokuja kutoka midomoni mwa watu mpaka pale umauti utapo mfika! Inaonekana ana nguvu ehh?

Tukutane 2020.
 
View attachment 370370
Kwanini wenzie wote wamevaa gwanda yeye kakomalia shati nyeupe?

Kwanini anajitofautisha na wenzie wote?

Ama ana maana ambayo ni ujumbe kwa wanaoelewa kwanini anafanya vile.
Naomba mnijuze wakuu.
Mungu ibariki Tanzania.
Jiangalie sana wewe,
Unataka boss avae sare moja na staff??


Lowasa alinunua chadema kwa billion 10, hana haja ya kuvaa magwanda
 
Back
Top Bottom