Kilangi masanja
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 4,248
- 4,611
Agiza tu mkuu online unique au takers wakusafirishie mie nilinunua Pindou dou ni unyama sana kitu greyJBL ORIGINAL CHARGER 5 KWA DSM ZINAPATIKANA WAPI?
NITAJUAJE KAMA NI ORIGINAL?
Agiza tu mkuu online unique au takers wakusafirishie mie nilinunua Pindou dou ni unyama sana kitu greyJBL ORIGINAL CHARGER 5 KWA DSM ZINAPATIKANA WAPI?
NITAJUAJE KAMA NI ORIGINAL?
Ukiwasha Ina sound kama base Hivi then ukitest mixiki utaelewa to kama og au fakeJBL ORIGINAL CHARGER 5 KWA DSM ZINAPATIKANA WAPI?
NITAJUAJE KAMA NI ORIGINAL?
Takers ni courier,unaagizaje kwaoAgiza tu mkuu online unique au takers wakusafirishie mie nilinunua Pindou dou ni unyama sana kitu grey
Nadhani bado hujakutana na spika za Bang & Olufsen ,bei zake ndo utazimia kabisa!Mi nashangaa vi speaker vidogo hivyo ndio viwe na bei hiyo, kwanza vina base nzito kweli ya kutikisa madirisha
Somo refu kidogo unaweza jisomea kuna nyuzi kibao humu namna ya kuagiza onlineTakers ni courier,unaagizaje kwao
PhonePointDar kule Instagram wacheki wapo Samora AvenueJBL ORIGINAL CHARGER 5 KWA DSM ZINAPATIKANA WAPI?
NITAJUAJE KAMA NI ORIGINAL?
Hawa nao bei yao poa sana haizid tofauti ya 20k au 30k na kuchukua online shipping fee ikiwa includedPhonePointDar kule Instagram wacheki wapo Samora Avenue
Hivi mkuu hawa bang and olufen ni brand ya wapi na ufanisi wake ukojeUkiwasha Ina sound kama base Hivi then ukitest mixiki utaelewa to kama og au fake
JBL genuine inadeep sound Kwa wake watumiaji wa hi fi speaker kama Sony , jvc , Philips , na sisi wakina JBL, okyo, pioneer wanaelewa namna sound inavuokuwa
Note: Hakuna JBL Yenye button ya M (yaani Ile unachange Bluetooth na radio hakuna hapo umepigwa )
JBL charger 5 inabutton ya power, Bluetooth, Kuongeza sauti , kupunguza sauti, pause/play Na partbox button (imekaa kama babe tambalale hii unaweza unganisha portable speaker karibia Tano zipige mziki mmoja)
I hope nimesomeka.
Agiza tu mkuu online unique au takers wakusafirishie mie nilinunua Pindou dou ni unyama sana kitu grey
Kampuni za usafirishajiHao ni watu gani mkuu? Online stores?
Kampuni za usafirishaji
Yes kaka mbona simple hii kitu waweza sogea xiaomi users Tz grupu iko telegram ukijoin utakut tunaelekezana namn ya kuagiza vitu deilyUnawezaje link nao? Unanuaje kitu ili wao wakipate wakisafirishe
JBL charger 5 inabutton ya power, Bluetooth, Kuongeza sauti , kupunguza sauti, pause/play Na partbox button (imekaa kama babe tambalale hii unaweza unganisha portable speaker karibia Tano zipige mziki mmoja)
I hope nimesomeka.