Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,114
- 34,956
Umetisha mazee, mi hadi huyo askari namfahamu maana kila siku namuona nikikatiza hapoHapo Feri upande wa magogoni pembeni(kushoto) ndio stend ya mabasi yaendayo kasi inajengwa.Picha ya tar 13/02/2014 nini?