We Khantwe mbona unaanza kuexpose utajiri wangu aise. Si unajua mi ninazo kama hizi kumi na mikokoteni saba na baiskeli tano Bulldog achana na Khantwe waarabu wa pemba hujuana kwa vilemba
We Khantwe mbona unaanza kuexpose utajiri wangu aise. Si unajua mi ninazo kama hizi kumi na mikokoteni saba na baiskeli tano Bulldog achana na Khantwe waarabu wa pemba hujuana kwa vilemba
Hahahahah....wapi wewe wakati vyote hivyo uliuza ukamhonga miss chagga. Umebakiwa na kibajaji kimoja tu hicho ulichoandika maneno haya kama njia ya kujifariji baada ya kufilisiwa kila kitu na mchepuko na mke unae ndani
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.