Mimi hapa darling...oh no shemeji..
Umesema bajaj ya nani eti?:what:
Ndio miss chagga alinifanya nikauza kila kitu ila kwa sasa nisharudi kwenye channel baada ya miss chagga kupata kifaa kipya stevoh kilichotoka umasaini kuuza ng'ombe zakeHahahahah....wapi wewe wakati vyote hivyo uliuza ukamhonga miss chagga. Umebakiwa na kibajaji kimoja tu hicho ulichoandika maneno haya kama njia ya kujifariji baada ya kufilisiwa kila kitu na mchepuko na mke unae ndani