Hii ItaKua Ajali ya Januari

Hii ItaKua Ajali ya Januari

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,154
Reaction score
13,267
12573780_10204319076177377_5480523945643054152_n.jpg
 
Hata sijui aambiwe pole au watu waangue kicheko
 
Kinachofuata hapo ni kuweka msalaba kisha munaendelea na shughuli zenu kashajizika mwenyewe
 
Mbona bado mzima hebu angalieni moka zake zinacheza..
 
Teh teh..Hapo ni kuweka msalaba tu..Mana ameshajizika mwenyewe
 
Kinachofuata hapo ni kuweka msalaba kisha munaendelea na shughuli zenu kashajizika mwenyewe
kusawazisha kidogo ili wajanja wasiondoke na viatu na pikipiki
 
Marehem Km Hawa Wanastahili Pongezi.Kawalahisishia Ndugu Zake Gharama Za Kununua Jeneza Na Kuchimba Kaburi.Mchumi Huyu Lazima!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ameokoa mengi marehemu kwa ndugu na jamaa.
 
Huyu atakuwa mtafiti madini akiwa kazini!
 
Back
Top Bottom