Chandaruaz
JF-Expert Member
- Jul 21, 2014
- 235
- 36
Achana nae,bt siku nyingine akirudia mfuate na mpe mkavu live kua urafiki wenu ubaki kua wenu tu na sio kuingiliana kwa wapenzi inahuuuu
!!!!
ukicheka na nyani utavuna mabua muulize akwambie waweza kumuuliza kijanja kwa njia ya utani hivi
1. Chukua simu yake (kama unaweza kuipata), ingiza namba za Boyfriend wako na jaribu kuzipiga zote unazozijua. Ukiona haitokei jina basi mkanye na upunguze huo upacha!
Point ni kwamba kila kilicho chako anakipenda na hata huyo Boyfriend wako anampenda pia.
2. Ukikuta namba ipo, basi ujue tayari mambo yanaendelea.
Hili zoezi lifanye na kwa Boyfriend wako pia kwa kucheki namba za huyo dada.
NOTE: Usiiondoe dhana ya kwamba hawafahamiani, chunguza kwanza kabla ya kufanya lolote.
Nyie si kama mapacha? Mwache mwenzio nae aonje gegedo la mchumba!
Alipoweka picha aliweka status gani?
Punguza mazoea ya ajabu ajabu!!!
uko vizuri aisee