Hii iPhone siielewi

Sijawahi kuziamini iphone zote za chini ya 600k zinazouzwa mtaani.

Hata humu Jf zipo nyingi zinazurura kwenye nyuzi mbalimbali, zinauzwa mpka 300k mh!!!

Embu tuwe waungwana tuutokomeze uharamia huu.
Nouma Sana yan....
 
Ila vp ukiziona picha zake ....ni feki au maana sn utaalam na iphone
 
iphone NI???
 
Exacyily hpa natumia infinix iko pow kweli yn..
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] ataichkuaje wakt hata haiwaki??
 
Nimeanza kutumia iPhone 4 hadi leo nina 7 yaani nikiona tu iPhone kwa nje kabla sijaanza kuipekua naijua hii ni fake.

Hiyo yako mkuu wala usijiulize ni mkanyanga baba. Kadai pesa yako.

Usiwaogope huu usawa ni wa Mjomba watarudisha tu mpunga.
 
Duuuuh aiseeeee ,,,let it go jombaaa.no way out
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…