Peter Mabala
JF-Expert Member
- Jul 19, 2016
- 1,216
- 1,685
YN mambowakuu mnavyokazania feki inaniuma kama nmenunua mimi. Laki4[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22] nnavyoitafuta hata 1/8 yake halafu watu wapige mpunga mrefu huo mngenikuta Nungwi naelea
Pole sana umeongea kwa uchungu hadi nimekuonea hurumaHapa tyr nmeshapgwa nngejua pesa zangu nikazpga pombe tu au ninunua nguo tu au nikafnyia vt vngne au nikaziacha tu. Kulik upumbav huu
Hongera sana. Simu mnadani kweli unaroho ngumuSakasaka Mao, Nilinunua laki 4 juzi tu ila si dukani ni kwenye mnada wa vitu.
View attachment 1252584View attachment 1252585
Hakika ynVitu vya mnada mara nyingi ni vibovu kamwe usinunue vitu vifuatavyo, smartphone, printer, Music system, TV. hakikisha unanunua kitu amabcho unaweza kukikagua hapo kwa papo bila mahitaji , ooh betri imekufa ukibadili itawaka,
Parefu Sana kwa usawa huu..duuhMartine Tibe, Ushapigwa we endelea kuuguza majeraha tu.
Laki 4 parefu pole sana
Tecno sinunui braza ..Ushapigwa tayari!
Umepatikana hapo!
Subiri tena mshahara wa November ununue Tecno Spark 3 Pro
Dahhh ebnaeee ...aiseee.km ni OG kabsa dukan ina ngapihiyo ni 7+ au 8+... hahah km ni 400k hapo ushapigwa
Siyo techno imevishwa cover ya iPhone kweli
Chaja yake ndo hyoPole kaka waweza post picha ya hio chaja yake
Mkuu we umenunua fake IPhone na pole sana sna
Hapa hamna nmna kwa hyo?Mkuu we umenunua fake IPhone na pole sana sna
Tena ya kikatiri Yan..ila nmejifunzaHongera sana. Simu mnadani kweli unaroho ngumu
Njoo uchukue tu tuwasiliane DMMkuu naomba unipe hiyo simu bure
Asnte Sana parefu kwel ynPole sana
Yaaan hakna siku mbya km ya juz kwangPole sana umeongea kwa uchungu hadi nimekuonea huruma