Hii iPhone siielewi

AMLIGHT, Vimaneno vipo kwenye charger yake ila kwenye simu sijaviona na button nyeupe haina kile ni kama ruber flani ambayo imefunikwa kwenye button ya on/off.

Kwa hiyo nifanyeje sasa
 
Naichoma Moto kabsa au naigonga kwenye jiwe

Mkuu cha kukigonga kwenye jiwe sio hyo fake Iphone bali kigonge kichwa chako kilichokubali kununua simu kwenye mnada!!

USHAURI
Hyo simu kaa nayo tafuta demu alokusumbuaga sana kumpata na mpka leo hujafanikiwa kisha muhonge na umle!
Au tafuta wale madem wanaojifanyaga matawi ya juu huku wanatumia Tecno afu muimbishe na mwambie ntakununulia Iphone mpya kisha kula mzigo mbwagie hyo
 
 

Huu ushauri
 
Kabla ya kununua smart phone unatakiwa ufanye research ya kutosha. Where to buy? Price? Specifications? and what's new in design. Siku hizi kama simu haina RAM 4 internal 64 na Infinity display sidhani kama it's worth buying. Zipo Oppo, infinix n samsung mid range series nzuri with good prices. Usikurupuke
 
wakuu mnavyokazania feki inaniuma kama nmenunua mimi. Laki4[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22] nnavyoitafuta hata 1/8 yake halafu watu wapige mpunga mrefu huo mngenikuta Nungwi naelea
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…