Field Marshal
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 414
- 280
Habari wakuu,
Mvurugo wangu ni huu hapa...Hivi mfano ikatokea mtoto amefikisha umri wa mwaka mmoja toka kuzaliwa eneo fulani labda tuseme Dar (Ubungo) kisha ukamuamisha ukampeleka Mara(Majita) ndani ndani huko ambapo lugha wanayozungumza ni tofauti na ile ya Dar,nako huko akae mwaka mmoja.Baada ya hapo unamuamisha unampeleka Mbeya(Umalila) ndani ndani kabisa ambapo wanazungumza lugha yao nako huko akae mwaka mmoja.Baadae unampeleka Arusha(Umasaini) alafu akae miezi mitatu alafu unampeleka Dodoma(ndani ndani huko) n.k...
Je,kwa mvurugo huo mtoto anaweza kufika miaka 7 au zaidi hajui kuongea kwa sababu ya kumuhamishahamisha?
vipi kama utakua unampeleka nchi tofauti tofauti miezi mitatu mitatu.MKUU UNAZIJUA HAKI ZA WATOTO??!!!
Huyu atajua kiswahili zaidi
Huyo atakuwa MTALII mkuuvipi kama utakua unampeleka nchi tofauti tofauti miezi mitatu mitatu.
vipi kila baada ya mwezi unampeleka sehemu nyingine toka kuzaliwa kwa mfululizo hadi anafikisha miaka 5,na kila eneo hakai na mtu ambaye anaelewa lugha ya eneo lolote alipowahi kukaa.Haiwezekani mkuu...possibility ni kwamba atakuwa anafahamu lugha za maeneo hayo aliyokaa. Mtoto anaanza kujifunza lugha na kuongea akifika miezi 18 hadi 24
ha ha ha ha...mfanyie mwanao alafu iwe proved.Labda tufanye experiment kwanza mambo ya kisayansi bila ushahidi hayanogi. Leta mwanao.
Lakini kiongozi,hiyo ni hypothesis yako wewe,leta tu mwanao tujaribu.ha ha ha ha...mfanyie mwanao alafu iwe proved.
Kuzunguka zunguka na mtoto haimaanishi atashindwa kujua lugha. Mtoto anajifunza lugha kutoka kwa mzazi... Ukiwa unaongea nae mara kwa mara eventually atajua lugha same applies huko anakokwenda na watu anaochangamana nao.vipi kila baada ya mwezi unampeleka sehemu nyingine toka kuzaliwa kwa mfululizo hadi anafikisha miaka 5,na kila eneo hakai na mtu ambaye anaelewa lugha ya eneo lolote alipowahi kukaa.
Hakuna kinachoshindikana ni maamuzi tuh...Kuzunguka zunguka na mtoto haimaanishi atashindwa kujua lugha. Mtoto anajifunza lugha kutoka kwa mzazi... Ukiwa unaongea nae mara kwa mara eventually atajua lugha same applies huko anakokwenda na watu anaochangamana nao.
Halafu hili swali lako halina uhalisia...how come mtoto anabadilisha mazingira kila mwezi kwa miaka mitano.
(1x12x5) = 60
In 5 year, huyo mtoto atakuwa ameishi in 60 different locations....
ha ha ha ha...atakua mtoto wa experimentBaba.huyo mtoto mbona unamsumbua hivyo.khaaaa.