Hii inaweza ikasababisha mimba?

bao tatu unamwaga nje? ukwel umempa mimba sababu njia hii unatakiwa uwe mwangalifu sanaa ndgu.cha kufanya anza kulea mimba kwa kufuata ushaur wa daktar
 
ANGAZA........wataalam wa ushauri nasaha na........njoo tuzungumze. Hilo tangazo hukulisikia mkuu?
 
Ndio mimba atakuwa amepata hy njia ni hatari usipokuwa makini, hukuwa makini kuna shahawa zinawah kuingia unapokaribia kileleni
 
inawezekana kabisa hiyo mimba ni ya kwako. mara nyingi mbegu za mwanaume huambataana na maji maji ya kwanza ambao hutoka pale uume unapokuwa umesimama kwa muda mrefu isitoshe ukiwa unajiandaa kushiriki tendo la ndoa na mwenzi wako.

Hongera kuitwa Baba kijacho.
 
Huwa naziamini kondomu pekee,viwanja haviaminiki lakini watu wanacheza peku bila tahadhari...Hongera mkuu umekuwa sasa...
 
Huwa naziamini kondomu pekee,viwanja haviaminiki lakini watu wanacheza peku bila tahadhari...Hongera mkuu umekuwa sasa...

hata wewe pia haupo sahihi kuziamini maana unaweza kuta unayo yafanya ukiwa na mpenzi wako bora uache condom upige peku, lakini kwa mimba husaidia lakini sio maambukizi ya HIV.
 
Back
Top Bottom