hii inawahusu wadada!

we unapenda fedha kuliko mapenzi?? kama ni hivyo ujue huo ujumbe unakuhuuu...
Btw: Heri ya Mwaka Mpya mpendwa natumai u mzima

napenda vyote kwa kiwango sawa. Heri ya mwaka mpya na kwako pia.
 
heri ya mwaka mupya my darling mkwe. Usisahau kumchuna mtalaka wako, manake na mie baba mkwe wako simuachii! Nyumba ndogo tunapiga vita kisiasa, bakisha mfupa wampite kama skeleton.

hahahaha! Mtalaka wangu sijui kafia wapi, kauza laptop na simu anatumia ya tochi.... Mwenyewe anadai internet explorer yake imevunjika.
 
Halafu na wewe kama vile hujaelewa nilichokisema...!!!
Heri ya Mwaka Mpya, nilikusubiri sana Tanga tutumbue mshahara wa Desemba lakini hukutokea bahati hiyo ikamwangukia Kongosho

pesa za mawazo unahesabia mfukoni haihuu hata kidogo. Nilikuwa busy na Don Mangi, ana kadi za kila aina ni kuchanja tuuu. Weeh endeleza ubahili wakati rais wako keshasema uliwe ndo ukule.
 
Last edited by a moderator:
hahahaha! Mtalaka wangu sijui kafia wapi, kauza laptop na simu anatumia ya tochi.... Mwenyewe anadai internet explorer yake imevunjika.

muambie akaichomelee gerezani pale, wana mabati yasiyopata kuti afu yana bluetooth. Mbona atajipanga mwaka huu?
 
mie naona wewe ni mwanamke wa ukweli...i like
u already.....ungeogezea pia muwe mna initiate mchezo wa kugegedana
 
muambie akaichomelee gerezani pale, wana mabati yasiyopata kuti afu yana bluetooth. Mbona atajipanga mwaka huu?

hahahahaha!! Mwaka huu wake, atatamani chriss mass ifike haraka ili na mwaka mpya ukaribie. Lol
 
pesa za mawazo unahesabia mfukoni haihuu hata kidogo. Nilikuwa busy na Don Mangi, ana kadi za kila aina ni kuchanja tuuu. Weeh endeleza ubahili wakati rais wako keshasema uliwe ndo ukule.

Hela ya mawe inawekwa kiunoni we mpaka ukachanje ni leo....
 
Last edited by a moderator:
we unahesabia wapi? Au 'chukua kiasi unachotaka beibe'! Lol

yaani pesa zangu mwenyewe halafu nizifichefiche kisa mupenzi ,hapana nina uhuru wa kupanga natumiaje na inapobidi nimshirikishe pia.
by tha way heri ya mwaka mpya
 
yaani pesa zangu mwenyewe halafu nizifichefiche kisa mupenzi ,hapana nina uhuru wa kupanga natumiaje na inapobidi nimshirikishe pia.
by tha way heri ya mwaka mpya

bora wewe, watu8 ananiuzi kuhesabia mfukoni. Heri ya mwaka mpya na kwako rafiki
 
Last edited by a moderator:
Hela ya mawe inawekwa kiunoni we mpaka ukachanje ni leo....
mie sifanyi shopping uchafuni na wala sili uswazi. Sasa nguo.za tsh millioni kadhaa tutahesabuje hela? Ebu nipishe mieee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…