HII INATOKEAJE...? EDIT...?

HII INATOKEAJE...? EDIT...?

PRINCEd

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2015
Posts
862
Reaction score
625
Wakuu naomba tushirikiane kujuzana katika hili, inawezekana Plate no moja ikatumika magari mawili tofauti??
20190515_125443.jpeg
 
Moja ni halali na moja ni magumashi ndio maana unaona polisi wanayakagua kwa ufasaha. Lazima moja chasis number yake haitaendana na ya kwenye kadi.
 
Kwa vyovyote hapo ma file yameshapandana, tena yamepandania huko huko japan[emoji16][emoji16].
 
Hapo kuna mmoja anatumia gari ya magumashi kati ya hizo mbili.
 
Mambo ya kukwepa ushuru.
Moja ni halali na moja ni magumashi ndio maana unaona polisi wanayakagua kwa ufasaha. Lazima moja chasis number yake haitaendana na ya kwenye kadi.
 
Back
Top Bottom