M MOSSAD II JF-Expert Member Joined Apr 14, 2013 Posts 3,971 Reaction score 947 Jul 24, 2013 #41 FaizaFoxy said: Kavaa kiheshima kabisa huyo ulitaka awaachie mapaja nje ndio muone kavaa? Click to expand... Najua unatetea kwa vile yuko na binamu yako jk! Si unamjua jamaa anavyopenda kuchungulia?
FaizaFoxy said: Kavaa kiheshima kabisa huyo ulitaka awaachie mapaja nje ndio muone kavaa? Click to expand... Najua unatetea kwa vile yuko na binamu yako jk! Si unamjua jamaa anavyopenda kuchungulia?
Ally Kombo JF-Expert Member Joined Nov 11, 2010 Posts 11,429 Reaction score 2,653 Jul 24, 2013 #42 Jidu said: Bibie huoni Mke wa Tony alivyovaa?hebu siku jaribu kualikwa sehemu hiyo na uvae hivyo uone hata kama utanusa geti la hilo kasri! Click to expand... Ajaribu Iran au Saudia aone kama hata Airport atapata clearance !
Jidu said: Bibie huoni Mke wa Tony alivyovaa?hebu siku jaribu kualikwa sehemu hiyo na uvae hivyo uone hata kama utanusa geti la hilo kasri! Click to expand... Ajaribu Iran au Saudia aone kama hata Airport atapata clearance !
Mtali JF-Expert Member Joined Aug 7, 2011 Posts 3,960 Reaction score 3,336 Jul 24, 2013 #43 Ikulu imekuwa mahali pa wanyang'anyi..... Tumuombe Mungu atunusuru na majanga yanayo endelea hivi sasa.... Ombwe la Uongozi. Wacheza kiduku nao wamo.
Ikulu imekuwa mahali pa wanyang'anyi..... Tumuombe Mungu atunusuru na majanga yanayo endelea hivi sasa.... Ombwe la Uongozi. Wacheza kiduku nao wamo.
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,156 Reaction score 13,267 Jul 25, 2013 #44 Cherie Blair a British Lady in BongoLand, hao wametumwa na Kagame
Daudi Mchambuzi JF-Expert Member Joined Nov 25, 2010 Posts 62,190 Reaction score 128,246 Jul 25, 2013 #45 FaizaFoxy said: Mbona kavaa ki heshima tu, au hizo rangi za hiyo nguo ndio zimekushtuwa? Click to expand... Ukilinganisha na uchafu unaofanywa hapo ikulu na kikwete ni dhahiri vazi hili ni la heshima kabisa. Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
FaizaFoxy said: Mbona kavaa ki heshima tu, au hizo rangi za hiyo nguo ndio zimekushtuwa? Click to expand... Ukilinganisha na uchafu unaofanywa hapo ikulu na kikwete ni dhahiri vazi hili ni la heshima kabisa. Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
N noely swai Member Joined Jul 13, 2013 Posts 5 Reaction score 2 Jul 25, 2013 #46 Marais wetu ambao wemeona ikulu ni pango la wanyanganyi
zimwimtu JF-Expert Member Joined Mar 7, 2012 Posts 1,988 Reaction score 1,097 Jul 25, 2013 #47 Jidu said: Tumezoea kwenye Mialiko au dhifa fulani wageni kuambiwa muwe mme vaa vazi fulani sasa Mgeni aliekuja na vazi la namna hii ni sahihi kweli tena Ikulu! View attachment 103930 Click to expand... jk ameigeuza ikulu kuwa 'PANGO LA WALANGUZI' mtu anaenda na kivazi chake kama anaingia casino...
Jidu said: Tumezoea kwenye Mialiko au dhifa fulani wageni kuambiwa muwe mme vaa vazi fulani sasa Mgeni aliekuja na vazi la namna hii ni sahihi kweli tena Ikulu! View attachment 103930 Click to expand... jk ameigeuza ikulu kuwa 'PANGO LA WALANGUZI' mtu anaenda na kivazi chake kama anaingia casino...
FaizaFoxy Platinum Member Joined Apr 13, 2011 Posts 100,506 Reaction score 123,777 Jul 25, 2013 #48 Daudi Mchambuzi said: Ukilinganisha na uchafu unaofanywa hapo ikulu na kikwete ni dhahiri vazi hili ni la heshima kabisa. Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums Click to expand... Vipi pale Mbowe? na vipi pale Keys? yanayofanyika ni masafi? na vipi Mzee wa Kanisa anayofanya ni masafi?
Daudi Mchambuzi said: Ukilinganisha na uchafu unaofanywa hapo ikulu na kikwete ni dhahiri vazi hili ni la heshima kabisa. Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums Click to expand... Vipi pale Mbowe? na vipi pale Keys? yanayofanyika ni masafi? na vipi Mzee wa Kanisa anayofanya ni masafi?
M mchukiaufisadi JF-Expert Member Joined Jan 1, 2011 Posts 546 Reaction score 193 Jul 25, 2013 #49 FaizaFoxy said: Mbona kavaa ki heshima tu, au hizo rangi za hiyo nguo ndio zimekushtuwa? Click to expand... Nimekumiss wewe!!!
FaizaFoxy said: Mbona kavaa ki heshima tu, au hizo rangi za hiyo nguo ndio zimekushtuwa? Click to expand... Nimekumiss wewe!!!
tz1 JF-Expert Member Joined Mar 19, 2011 Posts 2,121 Reaction score 536 Jul 25, 2013 #50 Kwa hiyo alitakiwa aweke kanga begani?
CURRENT ISSUE JF-Expert Member Joined Jun 20, 2013 Posts 256 Reaction score 57 Jul 25, 2013 #51 Nani aliyemwalika mwenzake.Maana lazima ukubaliane na utaratibu wa huyo uliyemwomba aje au uende.
Daudi Mchambuzi JF-Expert Member Joined Nov 25, 2010 Posts 62,190 Reaction score 128,246 Jul 25, 2013 #52 FaizaFoxy said: Vipi pale Mbowe? na vipi pale Keys? yanayofanyika ni masafi? na vipi Mzee wa Kanisa anayofanya ni masafi? Click to expand... punguza jazba mkuu, usiharibu swaumu yako kwasababu ya mahaba yako na ccm.
FaizaFoxy said: Vipi pale Mbowe? na vipi pale Keys? yanayofanyika ni masafi? na vipi Mzee wa Kanisa anayofanya ni masafi? Click to expand... punguza jazba mkuu, usiharibu swaumu yako kwasababu ya mahaba yako na ccm.
FaizaFoxy Platinum Member Joined Apr 13, 2011 Posts 100,506 Reaction score 123,777 Jul 25, 2013 #53 Daudi Mchambuzi said: punguza jazba mkuu, usiharibu swaumu yako kwasababu ya mahaba yako na ccm. Click to expand... Swaum iharibike kwa kuuliza ukweli? Unanchekesha!
Daudi Mchambuzi said: punguza jazba mkuu, usiharibu swaumu yako kwasababu ya mahaba yako na ccm. Click to expand... Swaum iharibike kwa kuuliza ukweli? Unanchekesha!
Daudi Mchambuzi JF-Expert Member Joined Nov 25, 2010 Posts 62,190 Reaction score 128,246 Jul 25, 2013 #54 FaizaFoxy said: [/SIZE] Swaum iharibike kwa kuuliza ukweli? Unanchekesha! Click to expand... acha hasira.
FaizaFoxy said: [/SIZE] Swaum iharibike kwa kuuliza ukweli? Unanchekesha! Click to expand... acha hasira.
Jidu JF-Expert Member Joined Mar 9, 2011 Posts 1,232 Reaction score 757 Jul 26, 2013 Thread starter #55 Ona wakwetu anavyo vaa anavutia kwa kweli wala huoni ukakasi kumtizama!