Hata mimi ningekukana. Kwani mtu akikwambia anakupenda inamaanisha mfanye matusi? Miezi miwili toka mmekutana, hamjafahamiana unapata mimba halafu unatarajia mtu aji-committ kwa mtu ambaye hamfahamu?Hujawai kutana na matapeli wa mapenzi, jamii inabadilika kutokana na makosa ya jana. Mtu anakwambia anakupenda na wewe unampa hizo 100% baada ya 2 months ikatokea una mimba anakukana, na hamjafahamiana kiasi hicho kwamba inamjua kaka, dada au kwao. Wewe utafanya nini?
Kila maendeleo huja na faida na hasara zake,hivyo maendeleo ya hizi elimu hizo ndizo hasara zake. Mwisho yamekuwa ni mashindano,kuheshimiana,kupendana,kuchukuliana na kuvumiliana tena hakuna, kila mmoja anamuona mwenzie mbaya, wote tumekuwa familia ya kambale mama sharubu na baba sharubu .
Kuwa mbali na Mungu nayo inachangia hali hii,maana tukifuata maandaiko(kwa dini zote) sidhani kama tungekuwa na hizi tafrani. Teknolojia inatutawala badala ya sisi kuitawala.
Mkuu sijakusoma kabisa unamaanisha nini kwenye hili bandiko lako.Lizarazu, siamini kama ni mwanamke
Na ww simama kma mwanamke wa kweli ili uje unilize kama MichelleT
True, amuwezi kufikia level za kina Obama Kama ni mmoja tuh anayepigania ilo penzi, lazima achoke ata awe na upendo wa aina gani,
Simama kama mwanaume wa kweli ili upate nawe kulia kama Obama,...
Hakika dada yuko vizuri.Mpendwa nimefuruhai sana maono yako kwenye mambo yanaohusu mahusiano na hasa katika jamii ya leo tulionayo.
Inaonesha dhairi wewe ni mkomavu haswa kwenye swala zima la mahusiano and you can handle any relation affair reasonably. Big up sana
Hata huyo mwanaume uliyenae lazima awe anajiona kapata bonge la wife ..mwanamke kichwa hatari.
Inapendeza sana mke anapotoa sapoti kwa mumewe.Haha dah aise,,hivi ukampenda mwanaume wako katika hali zote na yeye anajituma ataacha kukuhudumia kwa uwezo wake?? ........kuna thread moja humu mwanamke anaomba ushauri amsaidie vipi mumewe aongeze kipato chake kutoka biashara anayofanya...ni wanawake wangapi wana moyo huo??