Hii inapatikana dukani kwangu

Hii inapatikana dukani kwangu

kwamtoro

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2010
Posts
4,922
Reaction score
3,245
Kwa wenye kuziitaji tuwasiliane
attachment.php
 
Mkuu.@Globu na mimi ninazo hizo chupi za kila Rangi ninauzwa kwa bei ya jumla kila moja TZ Shillingi Elfu 7.000 Chupi kutoka ulaya ukizihitaji wasiliana na mimi kwa njia ya Email yangu hii hapa fewgoodman@hotmail.com

Attachments

  • Snapshot_20130322_2.JPG
    Snapshot_20130322_2.JPG
    29.4 KB · Views: 152
  • Snapshot_20130322_1.JPG
    Snapshot_20130322_1.JPG
    27.8 KB · Views: 159
Mkuu.@Globu na mimi ninazo hizo chupi za kila Rangi ninauzwa kwa bei ya jumla kila moja TZ Shillingi Elfu 7.000 Chupi kutoka ulaya ukizihitaji wasiliana na mimi kwa njia ya Email yangu hii hapa fewgoodman@hotmail.com

Chupi... ah.. nimepata ushauri kuwa zina haribu naniino kwa joto na kupunguza nguvu kwa kuzibana sana! mimi sivai tangu wiki hii! mambo kulia ... kushoto... kulia... kushoto!
 
"Pendulum bob" swing..... hahaaaaaaa
 
Chupi... ah.. nimepata ushauri kuwa zina haribu naniino kwa joto na kupunguza nguvu kwa kuzibana sana! mimi sivai tangu wiki hii! mambo kulia ... kushoto... kulia... kushoto!

Mkuu ndio umejua leo hilo jambo..??Mimi hapa hilo vazi halinihusu toka 1990,halafu advantage yake ni pale mguu wa tatu unapokuwa free, basi unajikuta unaevolve kila siku ipitayo..
 
wakuu mimi natafuta duka linalouza pafyum original,Maana nimenunua pafyum SH amon laki 2,lakini ukipaka inaisha harufu baada ya masaa 3.Naombeni mnisaidie wadau.
 
Chupi... ah.. nimepata ushauri kuwa zina haribu naniino kwa joto na kupunguza nguvu kwa kuzibana sana! mimi sivai tangu wiki hii! mambo kulia ... kushoto... kulia... kushoto!
Mkuu kabanga tunazo tangazia ni chupi za kike sio chupi za kiume kwani wewe ni Male au female?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom