Indume Yene
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 2,968
- 727
Nadhani ni "cultural constraints" za Watanzania..
Kuna jirani yangu hajawahi kuzima "security lights" for the past 5 years! Huwa zinawaka 24/7 - mgao wa umeme ndiyo umemsaidia!
...I hope sound itakuwa imewekwa mute kuruhusu mazungumzo tusi-judge mambo kwa mtazamo wa kurudi nyuma..:drum:Ni kukosa busara na ulimbukeni, kwanza kwa utaratibu ukiwa na wageni au mnapiga stori tv inapaswa kuwa off labda kama umekosa la kuongea ndo uiwashe!
...si wamepunguza sauti hadi 0...!!Wanasikiajae na hiyo TV iko on??
Ni kukosa busara na ulimbukeni, kwanza kwa utaratibu ukiwa na wageni au mnapiga stori tv inapaswa kuwa off labda kama umekosa la kuongea ndo uiwashe!
Ni kukosa busara na ulimbukeni, kwanza kwa utaratibu ukiwa na wageni au mnapiga stori tv inapaswa kuwa off labda kama umekosa la kuongea ndo uiwashe!
...I hope sound itakuwa imewekwa mute kuruhusu mazungumzo tusi-judge mambo kwa mtazamo wa kurudi nyuma..:drum:
...si wamepunguza sauti hadi 0...!!
Nitakwambia kuwa wanajadili mambo rahisi na mengine yakihusisha kinachoendelea katika luninga. Huwezi kuniaminisha kuwa hapa mh. huyu wanajadili mambo yanayohusiana na majukumu yao, umakinin hautokuwepo pale (hata kama sauti iko 0 au mute) itakapoonekana picha yenye kuvuta macho, picha huvuta na huwa na tafsiri zaidi kuliko maneno.
Ushamba tu:smash:
Haswa na inaonyesha uko serious na mazungumzo na unamueshim aliye kutembelea
hakuna chochote cha maana anachoongea!Wanasikiajae na hiyo TV iko on??
mbona vitu vidogo tu hivyo.