Hii inakere sana

ngoshwe

JF-Expert Member
Mar 31, 2009
4,131
931
Upo unakula starehe zako, mara mtu anakuja akiomba omba, anakuonyesha makovu au madonda yake ili umpe pesa!
Inakera sana.
 
RIP mzee Matonya,yusuf makamba alikupenda lakini Mungu amekupenda zaidi.
 
Nilisikia hadithi ya tajiri na maskini lazaro mwenye madonda, inayofanana na hiyo yako. Walipofika kwa Sir God tajiri alihukumiwa kwa kutomjali maskini duniani
 
wengine huja na fomu imeandikwa majina mawili matatu ikionesha anaumwa au karuhusiwa na mwenyekiiti wa mtaa apewe michango kwa ajili matibabu,

siku moja nilikuwa rose garden dodoma akaja dada mmoja na mtoto anaomba hela eti akamnunulie maziwa mtoto yeye maziwa hayatoki...nikamuangalia haraka haraka anaonekana ni mwenye nguvu nikamuuliza wewe mbona uko kamili huna ulemavu wowote kwa nini usifanye kazi, alinipa stori ndeeeefu mpaka nikaona ananiboa tu nikampa buku atleast kwa amelezo marefu aliyonipa, ila uwa siwaelewi
 
Sio kwa mazingira ya omba omba wa Kibongo! Wengi si maskini ni matapeli na wapo wale wanaothubutu kutapeli hata makanisani na msikiti. Mtu anakuambia ana donda linamsumbua 6 yrs or so, lakini cha ajabu anazunguka mitaani kuomba miaka yote hiyo!. Mwngine mlemavu wa macho lakini anaambatana na mtu mzima ambae angeweza kumsaidia kiuchumi ili amwezeshe kuomba!
Baada ya kisa cha "Salender Manyoya" sitoi hela yangu kwa ombaomba mpaka roho wa Mungu aniongoze.
 
Hii kitu huko india ni kawaida,hasa ukipanda zile train general class au sleeper,kila maskin ana karatasi kuonyesha matatizo yake.
 
Sio kwa mazingira ya omba omba wa Kibongo! Wengi si maskini ni matapeli na wapo wale wanaothubutu kutapeli hata makanisani na msikiti. Mtu anakuambia ana donda linamsumbua 6 yrs or so, lakini cha ajabu anazunguka mitaani kuomba miaka yote hiyo!. Mwngine mlemavu wa macho lakini anaambatana na mtu mzima ambae angeweza kumsaidia kiuchumi ili amwezeshe kuomba!
Baada ya kisa cha "Salender Manyoya" sitoi hela yangu kwa ombaomba mpaka roho wa Mungu aniongoze.
ze more u pay ze more manyoa .....hahahhha ndio ilikua kichwa ya habari ya gazeti sitasahau mana ilinifanya nicheke the way muandishi alivoiweka
 
Back
Top Bottom