Hii inakera sana

Hii inakera sana

utafiti

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2013
Posts
12,783
Reaction score
7,675
Unajiskiaje?
 

Attachments

  • 1389417002431.jpg
    1389417002431.jpg
    80.8 KB · Views: 333
teh teh teh teh.... ikoje ile hujafika Nusu ya booklet jamaa mwingine anaagiza booklet ingine ...
 
Umenikumbusha chuo. Paper ngumu kuliko zote na huna tumaini, unaomba booklet twice. Wakali wa hilo somo sasa ndo wanaanza kuhaha. Kweli cheti sio uwezo, dah
 
Namba moja imeshanikuta sana aisee.... dah unajisikia kama wewe ni mbulula wa dunia. Na confidence za kuendelea kufanya maswali yaliyobaki inayeyuka🙁🙁🙁🙁🙁🙁
 
Back
Top Bottom