Kifurukutu
JF-Expert Member
- Aug 29, 2013
- 4,514
- 6,438
Wakuu
Kufuatia mwenendo mbovu wa timu ya Simba, ni wazi sasa mashabiki wamechoka kwenda taifa na kurudi na maumivu
Mashabiki wameonekana kuchoka na kugomea kutokea uwanjani,, huku mtaani, mitandaoni kote watu wanasema mechi atashangilia mangungu
Ukipita comments kwenye page zote za Simba zinaonesha mashabiki wamechoka kabisa hivyo hii inaashiria kwamba Simba inaendea kucheza mechi hii bila ya mashabiki wake Bora wa mashindano ya African League
Mnyama damuWe ni Yanga tunakujua
Hizi ndizo akili za hovyo kabisa kwani inaonesha unaongozwa na hisia na hisia zako zinakudanganya.Mashabiki hawatoenda ila Simba itashinda kirahisi kabsa kwahiyo bora waende tu sio wasubiri timu ishinde ndo waanze kujipendekeza kua karibu na timu. Kwenye kundi la Simba sioni timu ya kumchallenge Simba, anaenda robo final saa 4 asubuhi
NAKAZIA
We pimbi ufala wa mashabiki wa Simba ni upi? Siyo Yanga iliyokuwa inaongoza kwa mashabiki wake kupigana bakora pale klabuni?Kuna tofauti kubwa sana kati ya mashabiki wa simba na Yanga wa simba wana ufala fluni hivi
Simba hii hii au unaisemea nyingine?Mashabiki hawatoenda ila Simba itashinda kirahisi kabsa kwahiyo bora waende tu sio wasubiri timu ishinde ndo waanze kujipendekeza kua karibu na timu. Kwenye kundi la Simba sioni timu ya kumchallenge Simba, anaenda robo final saa 4 asubuhi
Ule upimbi wenu kwenda kupokea wageni air port vip mnaendeleaje na maandaliziKuna tofauti kubwa sana kati ya mashabiki wa simba na Yanga wa simba wana ufala fluni hivi
Labda small simba ya zanzibarSimba hii hii au unaisemea nyingine?
Ule ufala wenu wa kutuibia wachezaji airport wakati hatuna mipango nao vipi?Ule upimbi wenu kwenda kupokea wageni air port vip mnaendeleaje na maandalizi
Wewe ni mshabiki wa timu gani?Wakuu
Kufuatia mwenendo mbovu wa timu ya Simba, ni wazi sasa mashabiki wamechoka kwenda taifa na kurudi na maumivu
Mashabiki wameonekana kuchoka na kugomea kutokea uwanjani,, huku mtaani, mitandaoni kote watu wanasema mechi atashangilia mangungu
Ukipita comments kwenye page zote za Simba zinaonesha mashabiki wamechoka kabisa hivyo hii inaashiria kwamba Simba inaendea kucheza mechi hii bila ya mashabiki wake Bora wa mashindano ya African League
Mbn naona kampeni zinaendelea za mashabiki wa simba ?Wakuu
Kufuatia mwenendo mbovu wa timu ya Simba, ni wazi sasa mashabiki wamechoka kwenda taifa na kurudi na maumivu
Mashabiki wameonekana kuchoka na kugomea kutokea uwanjani,, huku mtaani, mitandaoni kote watu wanasema mechi atashangilia mangungu
Ukipita comments kwenye page zote za Simba zinaonesha mashabiki wamechoka kabisa hivyo hii inaashiria kwamba Simba inaendea kucheza mechi hii bila ya mashabiki wake Bora wa mashindano ya African League
Una undugu na Mangungu?Hata msipoenda Simba haitakufa...jukwaa moja tuu linatosha...