Hii inaboa

Wanstechnical

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2014
Posts
266
Reaction score
225
Inaudhi sana kuona wasanii wengi siku hizi wameanza mtindo wa kuiga dialect (lahaja) ya kinaijeria katika uandishi wao... mf. "I no de lie", "u go make me crazy" sasa hii maana yake nini? Kwani hatuwezi kukuza lahaja zetu? Ommy dimpoz na wenzake wabadilike bana Kiswahili kina utamu wake bana.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…